samueli sasali ,kuna hariss kapinga sema huyu sio mzuri sana muuza sura tu hajui kupamba harusi...kibonde na mimiHAYA
Tunawasubiri, ukiondoa Mc Chris Mauki,Luvanda hawa wote hawapo,so kama wanaweza kupatikana designe hii wengine,hawa mmoja anasoma mwingine yuko FULL OCCUPIED whole this year 2013
kwani anahitajika kwa ajili ya harusi!...hajui kupamba harusi...kibonde na mimi
aisee kweli hata mazish siku hizi yana mamc aisee am sorykwani anahitajika kwa ajili ya harusi!
the best mc inategemea na taste yako husika,note that!
pili tanua wigo wako,unaweza kupata mc mzuri sana hata kutoka nje ya dar
cha mwisho epuka neno best litakunyima raha siku ya harusi,mfano ukiambiwa mc chizenga is the best halafu ukanipigia ukakuta nipo booked unajua kitatokea nini kwa mc mwingine atakayekufanyia kazi?
ngoja nikutafutie ..ngoja hadi kesho nikuulizie kwa wadada flani hivi wa shughuli mjini ..unikumbushewanapatikana vipi? Contact zao?
Yaa kweli unachosema.....the best mc inategemea na taste yako husika,note that!