Mbwembwe za Nassari....

kweli ukiwa ndani ya ccm uko radhi kufanya chochote hata kama roho haitaki ili upate madaraka.
 
afande juu kanuna kweli? Sijui donge?
La! Nadhan anasikitika kwamba hawezi akapiga picha na combat kwa uhuru magamba wakaacha kumganda.
 
Huyu baharia hawajui hawa magamba wa leo,wakiona anaongozana na hayo majembe ya chadema watamtosa we ngoja tu kwani jumanne sio mbali!!
 
Back
Top Bottom