Hayo mengine ni ufukunyuku.....kinachoonekana ni Rais ni Dr.SamiaIssue sio unachokijua au ambacho tunajua?Kile ambacho hatukijui au tunafikiri tuajua kumbe hatujui ndio issue
Sikio linataka kuzidi kichwaZimemcost vp wakati tunajua Rais ni Dr,Samia Suluhu Hassan?
samia anajua ana malengo gani naye. kwa nchi za kishenzi kama zetu, hata akimpiga risasi PM, as long as ana support ya samia, hiyo imetoka....Mgema akisifiwa............
Bashite aka Makonda aka kadhaa nyingine
Huyu bwana ni mzee wa mbwembwe na kiki.Mbwembwe na kiki zake sasa zimeanza kumcost SAMIA Suluhu,Gharama ya Mbwembwe za Makonda tunaanza kuziona kwenye uchaguzi wa 2024 serikali za mitaa.
Hakuna ambaye hafahamu sifa kuu ya Paul Makonda ambayo ni kutumia vibaya madaraka kila mara anapopewa.Mara nyingi unaposikia anafanya matukio fulani ya tofauti basi ujue kabisa kwamba kuna tukio lingine ambalo linaendelea chini ya kapeti
Sasa sitaki kusema mengi ila Najua kwenye korido za Lumumba,korido za Magogoni na pia katika korido za ofisi nyingine nyeti Faili tayari limechukuliwa na msomaji sasa yuko ukurasa wa nne
Swali ambao wanajiuliza ni JE,huyu bwana ni Asset ama ni Liability?Na Je Kamba yake nani ambaye ameishika na anayeiongoza.
Najua humu jukwaani kuna wanaojua zaidi kuliko wengine so tujibe hapa kwa comment fupi fupi.Je Nani ambaye anammudu Makonda ndani ama nje ya CCM?Je Makonda ni Asset au ni Liability ndani ya CCM na Mwisho je atumbuliwe Faster au awe Decommissioned kabisa?
MAKONDA NI ASSET KUBWA SANA KWA SIASA ZA BONGO WE ANGALIA TU SASAHIVI WAPINZANI WAMEPIGWA GANZI WAMEKOSA MANENO YA KUONGEA NA UCHAGUZI NI MWAKANI UNATEGEMEA WAPINZANI WATAWADANGANYA NINI TENA WANANCHI UONGO WAO UMEFIKA MWISHO CHINI YA MAKONDAMgema akisifiwa............
Bashite aka Makonda aka kadhaa nyingine
Huyu bwana ni mzee wa mbwembwe na kiki.Mbwembwe na kiki zake sasa zimeanza kumcost SAMIA Suluhu,Gharama ya Mbwembwe za Makonda tunaanza kuziona kwenye uchaguzi wa 2024 serikali za mitaa.
Hakuna ambaye hafahamu sifa kuu ya Paul Makonda ambayo ni kutumia vibaya madaraka kila mara anapopewa.Mara nyingi unaposikia anafanya matukio fulani ya tofauti basi ujue kabisa kwamba kuna tukio lingine ambalo linaendelea chini ya kapeti
Sasa sitaki kusema mengi ila Najua kwenye korido za Lumumba,korido za Magogoni na pia katika korido za ofisi nyingine nyeti Faili tayari limechukuliwa na msomaji sasa yuko ukurasa wa nne
Swali ambao wanajiuliza ni JE,huyu bwana ni Asset ama ni Liability?Na Je Kamba yake nani ambaye ameishika na anayeiongoza.
Najua humu jukwaani kuna wanaojua zaidi kuliko wengine so tujibe hapa kwa comment fupi fupi.Je Nani ambaye anammudu Makonda ndani ama nje ya CCM?Je Makonda ni Asset au ni Liability ndani ya CCM na Mwisho je atumbuliwe Faster au awe Decommissioned kabisaM
Nami naona kwa kweli
Ulivokasirika sasa......asilimia kubwa ya wanaoanzisha thread za kumponda Makonda humu hawana content au convincing facts juu ya ubaya wa Makonda zaidi ni porojo na ramli tu, kuja kushtuka ccm imeshinda........
.......haya pia yalitokea kwa baba jesca, sisi watu wa mitandaoni tulikuwa bize kutukana na kumkashifu baba j na kujifanya wasomi waelewa mwisho wananzengo wanampa kura anashinda tunarudi na ngonjera kuwa kura ziliibwa.......
.......ukiangalia vizuri Makonda na mbwembwe zake nilijua ataishia kuwashtua hao mnaowataja kwamba wanasombwa lakini kumbe amedraw attention hadi ya wanajf na Sasa anatrend karibu kila social media, hii ni mafanikio kisiasa.......
......my take kama hatumpendi Makonda tuache kumuanzishia nyuzi kila mara hasa kama hatuna facts, manake hapa jf sasaivi kila baada ya masaa kadhaa Uzi wa makonda unapandishwa na hakuna cha maana zaidi ya malalamiko tu kwamba anapata umaarufu..........
ππππUlivokasirika sasa
Huyo ni mbwa wa kubweka. Ukiona kafunguliwa, asikusumbue msome mwenye mbwa. Ukiangaika na mbwa itakubidi nawe uwe mbwa.AM
MAKONDA NI ASSET KUBWA SANA KWA SIASA ZA BONGO WE ANGALIA TU SASAHIVI WAPINZANI WAMEPIGWA GANZI WAMEKOSA MANENO YA KUONGEA NA UCHAGUZI NI MWAKANI UNATEGEMEA WAPINZANI WATAWADANGANYA NINI TENA WANANCHI UONGO WAO UMEFIKA MWISHO CHINI YA MAKONDA
Alimsingizia Lowasa ana Mtoto nje ya Ndoa.Hakuna ambaye hafahamu sifa kuu ya Paul Makonda ambayo ni kutumia vibaya madaraka kila mara anapopewa.Mara nyingi unaposikia anafanya matukio fulani ya tofauti basi ujue kabisa kwamba kuna tukio lingine ambalo linaendelea chini ya kapeti
Unategemea upate jibu gani zaidi ya kuambiwa wewe ni Chadema? Kuna vijana wengi wanalipwa kutetea upuuzi na wapuuzi mitandaoni.Mgema akisifiwa............
Bashite aka Makonda aka kadhaa nyingine
Huyu bwana ni mzee wa mbwembwe na kiki.Mbwembwe na kiki zake sasa zimeanza kumcost SAMIA Suluhu,Gharama ya Mbwembwe za Makonda tunaanza kuziona kwenye uchaguzi wa 2024 serikali za mitaa.
Hakuna ambaye hafahamu sifa kuu ya Paul Makonda ambayo ni kutumia vibaya madaraka kila mara anapopewa.Mara nyingi unaposikia anafanya matukio fulani ya tofauti basi ujue kabisa kwamba kuna tukio lingine ambalo linaendelea chini ya kapeti
Sasa sitaki kusema mengi ila Najua kwenye korido za Lumumba,korido za Magogoni na pia katika korido za ofisi nyingine nyeti Faili tayari limechukuliwa na msomaji sasa yuko ukurasa wa nne
Swali ambao wanajiuliza ni JE,huyu bwana ni Asset ama ni Liability?Na Je Kamba yake nani ambaye ameishika na anayeiongoza.
Najua humu jukwaani kuna wanaojua zaidi kuliko wengine so tujibe hapa kwa comment fupi fupi.Je Nani ambaye anammudu Makonda ndani ama nje ya CCM?Je Makonda ni Asset au ni Liability ndani ya CCM na Mwisho je atumbuliwe Faster au awe Decommissioned kabisa?
kama CCM wenyewe wamemuamini wakampa madaraka, fedha na jukwaa la kufanyia siasa. wewe CHADEMA inakuuma nini?Mgema akisifiwa............