xfactor JF-Expert Member Joined Jan 25, 2014 Posts 1,511 Reaction score 1,290 Oct 17, 2014 #1 Kama ilivyo chukuliwa kutoka kwenye page ya Dimond huko facebook Team Kiba mpo?!!!
A Ave Ave Maria JF-Expert Member Joined Apr 22, 2011 Posts 10,707 Reaction score 5,678 Oct 17, 2014 #3 Tupoooo!!! #TeamKiba
kichomiz JF-Expert Member Joined Feb 28, 2011 Posts 20,250 Reaction score 13,257 Oct 17, 2014 #4 kitorontomc said: cjaelewa bado? Click to expand... Anataka kuziba Namba A isionekane kwenye gari
Leak Platinum Member Joined Feb 22, 2012 Posts 52,939 Reaction score 43,569 Oct 17, 2014 #5 kitorontomc said: cjaelewa bado? Click to expand... Kuanzia Mwaka huu serikali imeruhusu watu kuwa na plate number zenye majina yao kwenye magari lakini ni gharama! Kwa hiyo na Diamond kahamua kuweka jina lake kwenye plate number! Hata wewe ukitaka unakwenda kuwekea ilimradi ni kulipia TRA!
kitorontomc said: cjaelewa bado? Click to expand... Kuanzia Mwaka huu serikali imeruhusu watu kuwa na plate number zenye majina yao kwenye magari lakini ni gharama! Kwa hiyo na Diamond kahamua kuweka jina lake kwenye plate number! Hata wewe ukitaka unakwenda kuwekea ilimradi ni kulipia TRA!
K kitorontomc Member Joined Aug 13, 2014 Posts 43 Reaction score 2 Oct 17, 2014 #6 ili iweje? kichomiz Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
ndupa JF-Expert Member Joined Jan 25, 2008 Posts 4,403 Reaction score 151 Oct 17, 2014 #7 Alafu ukute anaish nyumba ya kupanga
kichomiz JF-Expert Member Joined Feb 28, 2011 Posts 20,250 Reaction score 13,257 Oct 17, 2014 #8 kitorontomc said: ili iweje? kichomiz Click to expand... Isijulikane kama ni used ya bongo Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
King Kong III JF-Expert Member Joined Oct 15, 2010 Posts 60,359 Reaction score 88,543 Oct 17, 2014 #9 kichomiz said: Anataka kuziba Namba A isionekane kwenye gari Click to expand... Una Akili kinomaaaa hilo X6 lake ni la fitfth hand hapa bongo na lina Number A so ili aifiche inabidi atumie number hizo!
kichomiz said: Anataka kuziba Namba A isionekane kwenye gari Click to expand... Una Akili kinomaaaa hilo X6 lake ni la fitfth hand hapa bongo na lina Number A so ili aifiche inabidi atumie number hizo!
Bavaria JF-Expert Member Joined Jun 14, 2011 Posts 53,092 Reaction score 53,568 Oct 17, 2014 #10 Wenzake sahv hawawekagi majina, ridding without numbers
Robert S Gulenga JF-Expert Member Joined Jan 3, 2013 Posts 2,255 Reaction score 1,565 Oct 17, 2014 #11 kitorontomc said: cjaelewa bado? Click to expand... na hutaelewa kamwe,lugha ya picha inataka werevu
Dejane JF-Expert Member Joined Jan 1, 2014 Posts 51,002 Reaction score 72,284 Oct 17, 2014 #12 Sio wa kwanza kuweka hivyo
Daudi Mchambuzi JF-Expert Member Joined Nov 25, 2010 Posts 62,190 Reaction score 128,240 Oct 17, 2014 #13 Msanii wa kwanza tanzania kucheza na mbwa mwenye thamani sawa na bei ya verrosa
Deshmo JF-Expert Member Joined Dec 20, 2012 Posts 4,820 Reaction score 4,264 Oct 17, 2014 #14 kichomiz said: anataka kuziba namba a isionekane kwenye gari Click to expand... t000abd
O Otorong'ong'o JF-Expert Member Joined Aug 17, 2011 Posts 38,900 Reaction score 28,015 Oct 17, 2014 #15 Haya banaa....kwahiyo ataiweka kwenye ile X6..!
Shark JF-Expert Member Joined Jan 25, 2010 Posts 29,915 Reaction score 30,027 Oct 17, 2014 #16 Otorong'ong'o said: Haya banaa....kwahiyo ataiweka kwenye ile X6..! Click to expand... kwenye ile BMW la mume mwenzake
Otorong'ong'o said: Haya banaa....kwahiyo ataiweka kwenye ile X6..! Click to expand... kwenye ile BMW la mume mwenzake
xfactor JF-Expert Member Joined Jan 25, 2014 Posts 1,511 Reaction score 1,290 Oct 17, 2014 Thread starter #17 kichomiz said: Anataka kuziba Namba A isionekane kwenye gari Click to expand... King Kong III said: Una Akili kinomaaaa hilo X6 lake ni la fitfth hand hapa bongo na lina Number A so ili aifiche inabidi atumie number hizo! Click to expand... Dah! Nyie jamaa ni kibokoo aisee Yani nilikuwa sija liwaza hili kabisaa,ngoja nikamchane kwenye page yake msheeenzi
kichomiz said: Anataka kuziba Namba A isionekane kwenye gari Click to expand... King Kong III said: Una Akili kinomaaaa hilo X6 lake ni la fitfth hand hapa bongo na lina Number A so ili aifiche inabidi atumie number hizo! Click to expand... Dah! Nyie jamaa ni kibokoo aisee Yani nilikuwa sija liwaza hili kabisaa,ngoja nikamchane kwenye page yake msheeenzi
Nifah JF-Expert Member Joined Feb 12, 2014 Posts 34,410 Reaction score 82,307 Oct 17, 2014 #18 Sasa team Kiba inatuhusu nini hii habari?bila kumtaja kiba naona siku haiishi vizuri
Nifah JF-Expert Member Joined Feb 12, 2014 Posts 34,410 Reaction score 82,307 Oct 17, 2014 #19 kichomiz said: Anataka kuziba Namba A isionekane kwenye gari Click to expand... Dah,nimewaza sana kujua ulikua unamaanisha nini... Siku hizi watu wanatembelea D mjini hapa
kichomiz said: Anataka kuziba Namba A isionekane kwenye gari Click to expand... Dah,nimewaza sana kujua ulikua unamaanisha nini... Siku hizi watu wanatembelea D mjini hapa
Honey Faith JF-Expert Member Joined Aug 21, 2013 Posts 15,782 Reaction score 11,838 Oct 17, 2014 #20 nifah said: Sasa team Kiba inatuhusu nini hii habari?bila kumtaja kiba naona siku haiishi vizuri Click to expand... Umeona eeeh.Sie team kiba hatupendi showoff za kihivyo
nifah said: Sasa team Kiba inatuhusu nini hii habari?bila kumtaja kiba naona siku haiishi vizuri Click to expand... Umeona eeeh.Sie team kiba hatupendi showoff za kihivyo