Mbwana Samatta alivyopokelewa leo jijini Dar

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,800
34,189
Mbwana Samatta alivyopokelewa leo jijini Dar




IMG_3849.jpg


Mwanasoka Bora wa Afrika, Mtanzania, Mbwana Samatta akikatisha katika jiji la Dar leo kuanzia Hoteli ya Hyatt Regency Kempinsk mpaka Escape One akiwa katika gari la waziri wa Habari, Utamaduni, Wasanii na Michezo, Nape Nnauye.

kawe.jpg


Waziri wa Habari, Utamaduni, Wasanii na Michezo, Nape Nnauye (kushoto mwenye tuzo) akiwa na Mbwana Samatta.

IMG_3920.jpg


…Akiendelea kuwasalimia wakazi wa jiji la Dar.

bodaboda-walikuwa-kivutio.jpg


Kinondoni.jpg
Madereva

bodaboda walikuwa kivutio wakimsindikiza Samatta.

mwenge.jpg
mwenge1.jpg


…Akiendelea kuwasalimia wananchi mbalimbali.

nape-akironga-na-wana-habari.jpg


Source: Global Publishers
 
Hongera sana dogo umetutoa MRISI kwa walimwengu. Kaza buti huko (Belgium ), huko ushindani ni mkubwa sana
 
Back
Top Bottom