Mbwa wa ulinzi anauzwa

Kweli mkuu mbwa asiye na mafunzo kwa bei ya milioni 7 ni uhujumu uchumi.

Mil 7 ni pesa ya kununua chombo cha moto siyo mbwa tena asiye na ABC kichwani.
Kuna mbwa ni bilionea kiasi kwamba chakula chake anachokula ukifananisha na chako unahisi wewe ndiye mbwa

Kinachomfanya mbwa awe mbwa sio uumbwa ni wadhfa kwasababu hata asiye mbwa akikosa wadhfa ni umbwa kwa mbele ya mwenye wadhfa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…