Mbwa wa police azikwa kitaifa marekani

Magari Aina Zote

JF-Expert Member
Jul 31, 2012
3,076
523
Ai5PiJoYxS1gIUHTnSNyyWk8smSVnreva74ZayMghwPt (1).jpg


Ai5PiJoYxS1gIUHTnSNyyWk8smSVnreva74ZayMghwPt.jpg


Ao4rntNuGvf5inp4ZbEed58V5aTw3t4xosOcJre7-EJW.jpg


Aqh8GDfrBho9TWglYU7MB707kBdGEXxfhZqU4iRt4_qH.jpg


Wakuu hivi huku ni kukufuru au vipi?
Maana inafika mahala tunampa mbwa heshima kuliko binadamu, unakuta mbwa anakula chakula kizuri, analala pazuri na hata akifa anazikwa vizuri kuliko binadamu!

Hii ni halali kweli?
 
View attachment 342996

View attachment 342997

View attachment 342998

View attachment 342999

Wakuu hivi huku ni kukufuru au vipi?
Maana inafika mahala tunampa mbwa heshima kuliko binadamu, unakuta mbwa anakula chakula kizuri, analala pazuri na hata akifa anazikwa vizuri kuliko binadamu!

Hii ni halali kweli?
Mkuu ulitaka asile vizuri au,,,hili swala la kuzikwa kwa mbwebwe ndo ishu,,Ila misosi Na huduma nzuri kila kiumbe inamuhusu,,, ulitaka aoze Na kunuka pembeni ya barabara mama kwenu Manzese au Tandale nn!!!?
 
Kwani huyo mbwa kafanikisha mambo mangapi muhimu kwenye uhai wake ?
Acha apewe heshima yake
 
Akili nyingi huondoa maarifa......! Wahenga bwana walikuwa na busara sana.
 
Mkuu kazi aliyolifanyia taifa ndio imesababisha hayo.

Huyo ni police kama hujui.
 
Back
Top Bottom