Ungesema Mbwa unaemtaka unamtaka kwa mahitaji yapi ya ulinzi au mapambo, na huyo Mbwa unamtaka aidha awe bbl,gsd, rott, den, na wengineo unawaomba bure ama kununuwa? maana kumtunza mpaka aje kuzaa wewe upatiwe puppy sio kazi ndogo ndugu yangu. Hebu fafanuwa vyema ili watu tujue hitaji lako limesiamamje tuweze kukusaidia. Mbwa wana gharama na nilazima uzikubali ili upate kilicho bora.