Jephta2003
JF-Expert Member
- Feb 27, 2008
- 6,575
- 6,328
Napatikana Kibamba Dar, mbwa aliyeko kwenye picha anauzwa, ana miezi 8,ameshapata chanjo zote, call me/wasap 0713228915
Umeona mkuu...ila hata mimi wakwangu nimemfunga hivyo..huku mkoani niliko nimetafuta huo mkanda maalumu nimekosa.Kwanini unamfunga huo mchuma chuma shingoni ? Wakati kuna mikanda maalumu ya kufungia ?
Ebu muwe na huruma kha!
Umeona mkuu...ila hata mimi wakwangu nimemfunga hivyo..huku mkoani niliko nimetafuta huo mkanda maalumu nimekosa.
Nenda tu kwa fundi viatu atakutengenezea.Umeona mkuu...ila hata mimi wakwangu nimemfunga hivyo..huku mkoani niliko nimetafuta huo mkanda maalumu nimekosa.
Umesahau kuweka vitu viwili muhimu sana katika tangazo lako, Je unavijua?
Sawa mkuuAgizia hata Dar es Salaam mkuu !
ahsante kwa ushauriNenda tu kwa fundi viatu atakutengenezea.
Kamuokota , huyu si mfugaji.Kwanini unamfunga huo mchuma chuma shingoni ? Wakati kuna mikanda maalumu ya kufungia ?
Ebu muwe na huruma kha!
Invitation to treat huwa haiitaji sana vitu hivyo, waweza kuvitaja wewe na kumshawishi yeye kukubaliana navyo.Umesahau kuweka vitu viwili muhimu sana katika tangazo lako, Je unavijua?
Uko right mkuuInvitation to treat huwa haiitaji sana vitu hivyo, waweza kuvitaja wewe na kumshawishi yeye kukubaliana navyo.
Nikumbushe kakaUmesahau kuweka vitu viwili muhimu sana katika tangazo lako, Je unavijua?
Utamlipia Seat kwenye Basi?Niko Iringa.. unaweza kumtuma kwenye basi?