Punguza hasira ...ukitulia uandike vinavyoeleweka..umenielewa Enditoo!
Remote uwenda anajua hiliHahahahahah.............watakua na ndugu hawa. Sio bure.
Hapo nimetoka kapa, tumwite Pdidy na Mwajuma Mchawi.
Asanteni sana wadau!
Kuna mwana jamii mmoja ameshamnunua tutaendelea kujulishana kwa biashara zinazofuata.
Cheers!
Asanteni sana wadau!
Kuna mwana jamii mmoja ameshamnunua tutaendelea kujulishana kwa biashara zinazofuata.
Cheers!
Hata akikudhi ukisema ukachinje upat ata robo ya nyama zaidi manyoya
masai dada tangu nimpe kazi ya kumfundisha pdidy mwandiko yeye ndio kaanza kuandika kipididy.
najishaua nini weww
kwetu tuna mpwa 12
nimezaliwa naishi naobkumbe uwajui wamasai wewe???
baada ya ngombe, ubazani mtoto wa miaka 9 anachunga vipi ngombe 200 bila kuwa na mpwa???????
USIKURUPUKE
Duuuhh, ng'ombe 200? sasa mahari nitakulipia ng'ombe wangapi?
nitakusaidia kulipa lol
ukitoa 19 nakuongezea wanne kisiri siri
Hapo nimetoka kapa, tumwite Pdidy na Mwajuma Mchawi.
Acha kujishaua wewe, masai na mbwa wapi na wapi?
nilikua na usingizi
Huyu mbwa kwel?
wakati watu wananunua mbwa kwa laki sita mwingine anapiga hesabu atapata wapi laki sita akamalilizie kibanda chake mwenye nyumba anamdai kodi
khe yule anahitaji laki sita ili apate matibabu
huyu anahitaji laki sita akalipe ada
na wale wanahitaji laki sita mradi wao umebuma
this world is not fair