Shy land
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 6,245
- 2,856
OMG mbwa mzuri huyi jamani
sema sina uwanja ningemchukua woooowwww
mzuri sana aisee
kwani huyu mbwa anaweza kukusaidia kufanya kanzi gani?? dear nasubiri unieleweshe.
OMG mbwa mzuri huyi jamani
sema sina uwanja ningemchukua woooowwww
mzuri sana aisee
Mie nahisi ni kicheche hiki na sio @mbwa
vuta hisia uko naye kisha ukutane na mbwa koko / jibwa babe la kitaa kama boby, simba , chui, mbavu etc...si atapigwa finger moja tu chali. Mie naona hata kuua panya huyu mbwa hawezi kabisa.
Ni mbwa jamii ya sharobaro.
wee ununue mbwa laki sita alafu unanamwacha anazurura tu ovyo ovyoNiliibiwa mbwa kama huyu nina rb
Nime mnukuu dada yako dogo.Wamasai mbwa ndio zetu tukiwa machungani. Wewe Olmekii utayajua wapi hayo.
Nime mnukuu dada yako dogo.
Huu upuuzi kama mmezoea ongea na ng'ombe usiniletee mimi. Kojoa ukalale dogo.Kweli wowe imekosea mimi nisamu. Naita mimi dogo. Ita mimi baba mdoko