Acha kujishaua wewe, masai na mbwa wapi na wapi?OMG mbwa mzuri huyi jamani
sema sina uwanja ningemchukua woooowwww
mzuri sana aisee
OMG mbwa mzuri huyi jamani
sema sina uwanja ningemchukua woooowwww
mzuri sana aisee
Acha kujishaua wewe, masai na mbwa wapi na wapi?
Hahahahahah............shikamoo masai dada. Labda tupate msaada kwa mswahili FaizaFoxy huwenda akang'amua kile ulichotaka maanisha.najishaua nini weww
kwetu tuna mpwa 12
nimezaliwa naishi naobkumbe uwajui wamasai wewe???
baada ya ngombe, ubazani mtoto wa miaka 9 anachunga vipi ngombe 200 bila kuwa na mpwa???????
USIKURUPUKE
najishaua nini weww
kwetu tuna mpwa 12
nimezaliwa naishi naobkumbe uwajui wamasai wewe???
baada ya ngombe, ubazani mtoto wa miaka 9 anachunga vipi ngombe 200 bila kuwa na mpwa???????
USIKURUPUKE
Hahahahahah............shikamoo masai dada. Labda tupate msaada kwa mswahili FaizaFoxy huwenda akang'amua kile ulichotaka maanisha.
Hapo nimetoka kapa, tumwite Pdidy na Mwajuma Mchawi.
Hahahahahah.............watakua na ndugu hawa. Sio bure.Hapo nimetoka kapa, tumwite Pdidy na Mwajuma Mchawi.
najishaua nini weww
kwetu tuna mpwa 12
nimezaliwa naishi naobkumbe uwajui wamasai wewe???
baada ya ngombe, ubazani mtoto wa miaka 9 anachunga vipi ngombe 200 bila kuwa na mpwa???????
USIKURUPUKE