Hello wadau.
Anahitajika mbwa aliyekuwa trained vizuri. Nitafurahi kama nitampata na aliyemtrain kwa ajili ya kumzoesha kwangu pindi nikimnunua. Kama unaye, au unajua wanapopatikana, please let me know. Haijalishi ni aina gani, la muhimu awe trained vizuri. PM me au reply kwenye thread ni jinsi gani naweza kumpata. Ahsante