Mbwa aliyemuuma kingunge

Siku ikifika hata matibabu yatolewe ujerumani unakwenda tu.. Kikubwa ni kuwa kwa wakati wake mzee kigunge alitimiza yale aliyoona ni sahihi kwake.
 
hahaa mzee Kingu alikuwa hatambui uwepo wa dini, hata mpwa wake nao hawatambui uwepo wake km owner wakaona wamng'ate tu@What goes around comes around
Kwa hiyo wote wanaoumwa na mbwa wao hawatambui uwepo wa dini?

Halafu nani kakwambia Kingunge alikuwa hatambui uwepo wa dini?
 
Toroka kwenu af uugue uone.
 
isije ikawa huyu mbwa alitumwa na watu wasiojulikana baada ya mzee kung'angania msimamo wa kutorejea kundini na kuunga mkono juhudi!
 
Dunia ya leo bado tunafuga mbwa? zipo spy camera za kila aina. huyo mbwa akibweka anayoka na panga?
Hata Donald Trump na Vladmir Putin wanalindwa na mbwa.
Vikosi vingi maalum vya polisi au askari jeshi vina mbwa wanaotekeleza majukumu yao kijeshi. Na wana vyeo.
Usilete mzaha na vitu usivyovijua.
 
Mnataka kumwangushia jumba bovu kijana wa watu.

Mbwa anamjua kijana wa kazi kuliko mwenye nyumba wakati kijana wa kazi ni wa kupita, ilitakiwa Mzee mwenye nyumba awe ni mmoja wa aliyezoewa na mbwa.

nimekuelewa mkuu nahisi niliteleza hapo kwenye kuandika mwenye kosa ni... sikumaanisha kisheria kisheria hapo kijana hana kosa nilichokuwa namaanisha ni vile alivyoenda nje ya utaratibu waliojiwekea (muda wa kuwafungia mbwa) ni binadamu alipitiwa tu kama mimi nilivyopitiwa katika uandishi hapo juu mpaka ukanielewa vibaya
 
Huyo mbwa amekosa ubinadamu. Hilo tendo alilolifanya sio la kiutu.
 
Hii habari ya mbwa kwangu bado najiuliza tu kwa kweli
 
Ndo maana napenda mbwakoko kanabweka ni balaa, hata kakiona mende katabweka hadi asubuhi, kosa akatize mjusi mbio utakakuta chumbani kwako kameshajikojolea tayari
 
Mbwa huyo atakuwa alipandwa na hasira kutokana na msongo wa mawazo, Si unajua Wanyama nao huwa wanawaza.Sasa labda aliona amalizie hasira zake kwa Bosi wake.
 
Kwahyo kilicho muondoa mzee wetu ni nn?
Kichaa cha mbwa ama!!
 
Akili za mbwa ni kama za yule KING wa VIBAMIA Tanzania
 
Mzee alikua kashajichokea mbwa sababu tu. Na ndo maana akamtanguliza wife,
Kumbuka kinjekitile ngombare mwiru alikua kiongozi wa kamati ya utaalam juju kukiwezesha TANU kupata uhuru .
Hahaa mzee wa kupanga misafara?
Mola amuhifadhi
 
Huyo mbwa ni wazi hakuwa na mafunzo kama bado yupo anaweza kushambulia tena mbwa aliyefundishwa hufahamu harufu ya kila aliyetambulishwa kwake Huyo ni mbwa koko tu
 
Huyo mumbwa atakuwa alikuwa mgeni aise, mana hii sio tabia ya mbwa wa kibantu, au mzee alikuwa hajawahi kutana na huyo mumbwa
Inasemekana alikuwa anafunguliwa usiku na kuingizwa bandani alfajiri sana kwa maana hiyo mbwa alikuwa anamjua mlinzi tu mweehh!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…