Mbwa akiwa amepiga pamba za nguvu

Mbwa akiwa amepiga pamba za nguvu

Tony Laurent

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2011
Posts
6,445
Reaction score
8,418
Pamba za ukweli?

Mbwa ndani ya mavazi.jpg
 
[SUP]Maskini mbwa hata hajui kwa nini kabebeshwa yote hayo!
[/SUP]
 
Ubinafsi wa wadhungu tu hakuna lolote. Wajua siku hizi wadhungu wamekuwa wabinafsi na wachoyo mno...ndo mana utaona kila kukicha wanadhunguka na mbwaaaa.. eti kumpa madhoethi.... wakati wa baridi ndo eti wanawavalisha vinguo hivyo.. afu baadaye wanatuwekea kwenye mitumba tuwavalishe watoto wetu....Ubinafsi wao upo kwenye kutotaka watu/watoto, kinyume chake wanapenda kukaa na wanyama hasa mbwa.... chunguza mwenyewe..
 
Back
Top Bottom