kwa tafiri za kiafrika huyo mbwa anaona kuliko kuishi iringa bora na yeye angezikwa.
huyo kuna watu wamemkosakosa kumchinja tz ndo kakimbia hadi hapo sasa njaa anatamani naye azikwe.Mbona hilo tukio la kawaida tu jamani? kaburi lenyewe lilivyotengenezwa na kunakshiwa ni bora kulala juu yake kuliko kuichafuka na tope. Mbwa mstaarabu sana huyo.
kwa tafiri za kiafrika huyo mbwa anaona kuliko kuishi iringa bora na yeye angezikwa.
na pengine huyo uliemtaja ndo kamsababisha akimbilie juu ya hilo kaburi baada ya kumkosa kosa.Tena anaonekana kanona na ni mtamu balaaa; akikatisha tu kwa Segito leo ndo mwisho wa maisha yake
kaulize wanyakyusaTukio hili kwa mila za kiafrika lina tafsiri gani?
kwa tafiri za kiafrika huyo mbwa anaona kuliko kuishi iringa bora na yeye angezikwa.
kaulize wanyakyusa