hahahah koko ndio anamgeuzia kibao hata bossi wake mkuu,sikufichi hapa majirani wanaonizunguka wameshavamiwa wote lakini hapa kwangu hakuna aliyewahi kutia mguu hata mmoja.Mkuu nawaelewa mno GS. Ni mbwa wakali na nnawakubali 100 Percent kwenye ulinzi zaidi ya binadamu anaeweza kumgeuka hata boss wake.
Naomba unitumie niwaone vizuri,,,na kama yupo pure black asiekuwa na doa nijulishe kiongozi.
lahasha hayo ni maneno ya mtaani tu!wanakula kawaida mkuuKuwalisha inabidi uwe vizuri, but looks nice breed
hahahah koko ndio anamgeuzia kibao hata bossi wake mkuu,sikufichi hapa majirani wanaonizunguka wameshavamiwa wote lakini hapa kwangu hakuna aliyewahi kutia mguu hata mmoja.
isee nitawakagua kesho nione kama kuna ambaye hana doa mkuuGS ni kiboko ya majambazi. Nitumie na Pure B kama atakuwepo kiongozi.
Mie sipendi wanavyopiga "miti" tu basi.Natamani mbwa ila.... Sipendi wanavyojisaidia kila sehemu
Kuwalisha inabidi uwe vizuri, but looks nice breed
isee nitawakagua kesho nione kama kuna ambaye hana doa mkuu
Hii breed ni pure?
Mkuu mimi sikutaka ligi tu na jamaa na pia asije akaona namuharibia biashara yakeKwa muonekano wa picha hao sio Pure
Uzuri wa mbwa kama hawa, hakuna kitu kinakatiza kwenye boma lako usiku bila ridhaa yao, kuanzia panya, wachawi, nyoka na kila aina ya hatari..walio na uwezo wananunue, ilawawe na uzio, hela ya kuwalisha kidogo, matibabu, mafunzo, utafaidi nao sana..lahasha hayo ni maneno ya mtaani tu!wanakula kawaida mkuu
Anko Magu kakaza vyuma,akiweka bei kubwa wa kununua atatatoka wapi?Mkuu picha ya wazazi haina maana ni pure breed
Mbona bei yao ipo chini hivyo?