Mbwa aina ya German Shephard (GS) wanauzwa

handsome2

Senior Member
Mar 22, 2016
106
59
kichwa cha habari chahusika,mbwa wenye umri wa week tano aina ya German Shephard wanauzwa,bei yake ni Tshs.200,000 kila mmoja,kwa wale mnaoishi na familia mnajua uchungu wa kuvamiwa na majambazi,kiboko yao ni hawa mbwa.Napatikana tabata Kinyerezi.serious buyers njoo PM.
 

Attachments

  • 20171029_081305.jpg
    80.5 KB · Views: 97
  • 20171029_081036.jpg
    77.9 KB · Views: 89
  • 20171029_080612.jpg
    78.8 KB · Views: 113
Kama ni pure GS bei iko vizuri ila nakushauri hamishia jukwaa la biashara
 
Hii breed ni pure?
 
Natamani mbwa ila.... Sipendi wanavyojisaidia kila sehemu
 
Mkuu nawaelewa mno GS. Ni mbwa wakali na nnawakubali 100 Percent kwenye ulinzi zaidi ya binadamu anaeweza kumgeuka hata boss wake.

Naomba unitumie niwaone vizuri,,,na kama yupo pure black asiekuwa na doa nijulishe kiongozi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…