Dog breeder
Member
- Sep 4, 2017
- 38
- 37
Wadau mbwa puppy gsd anauzwa umri miezi8
Mkuu hao papi wa miezi 8 wako wapi na bei gani? Weka namba ya simu?Wadau mbwa puppy gsd anauzwa umri miezi8View attachment 591402
Tuambie hao papis wako mkoa gani na bei yao? Je ni German family? Kama uko serious sema?Mkuu hao papis wako wapi na bei gani? 5
Mkuu hao papi wa miezi 8 wako wapi na bei gani? Weka namba ya simu?
Kamanda kweli huyo mbona mkia ameufyata?Wadau mbwa puppy gsd anauzwa umri miezi8View attachment 591402
Ndo huyo mkuu ana miezi8Mkuu hao papis wako wapi na bei gani? 5
Mkuu hao papi wa miezi 8 wako wapi na bei gani? Weka namba ya simu?
Ndo huyo anamiezi 8Tuambie hao papis wako mkoa gani na bei yao? Je ni German family? Kama uko serious sema?
naomba uweke picha na bei tafadhali na unapatikana wapi.!?
Mkuu hiyo bei ya laki 8 ana mbio kama ICBM za Mr. Rocket Man?View attachment 591801Bei laki8 nipo mbezi kimara