mbuzi wanauzwa

Ya kukunia Nazi!?

acha masihara ndugu kwani mbuzi ya kukunia nazi inakuwa na afya? Toka lini kifaa kama mbuzi kinakuwa na sifa kama za viumbe hai? Wenzio tunatumia mitandao kwa mambo ya msingi sio mchezomchezo kama ufanyavyo wewe badilika bwana.
 
Ni mbuzi wa maziwa?breed gani na bei gani.

ni mbuzi wa kienyeji kwa ajili ya nyama kutoka kwa mkulima kijijini kabisa. Bei inaanzia 80,000/- na kuendelea inategemeana na ukubwa wa mbuzi. Kwa taarifa zaidi niibox au tuwasiliane kwa email hapo juu.
 
TIRIRIKA kidogo, mbuzi ni wa maziwa au wa nyama, wa kisasa au wa kienyeji, mbuzi mdogo shs ngapi, mbuzi mkubwa dume shs ngapi, mbuzi mkubwa wa jike shs ngapi,

Wengine hizo to and fro za kwenye inbox hatuzitaki, tunataka tuki-pm tujue tunasema na kutaka nini na kama biashara inafanyika mara moja.
 
hao mbuzi ukiwachinja unapata kilo ngapi? weka kilo na bei, wanapatikana dar sehemu gani nataka 2
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom