Pale mbagara mtongani ikitokea ajari mbuzi wanaenda kuangaria kilichotokea.walembuzi siombuzi sijui umenielewa 🤣🤣Hawa mbuzi wa Dar tunaoshinda nao Bar na kugombea nao madem wananifikirisha sana,hivi nani aliwahi kumchinja mmoja akakakutana na mauza uza??
Maana kila mtu anasema ni mbuzi mara dawa mara wa albadiri eti ukila lina kukuta jambo,nani aliwahi kukutwa na jambo au mtu wake wa karibu kwa kujaribu kula hawa mbuzi,isije kuwa ni survival mechanism yao mjini wakaambiana ili watoboe mjini basi watunge stori kuwa wao ni mbuzi wa dawa ukijaribu kuwala unakufa.....
Nimeandika hivi baada ya kukutana na kundi la mbuzi hapa ilala wana jeuri balaa wananenepeana tu hawaogopi Chochote!!
Na clip moja kanafungua mlango wanyumba kabisa kanakula msosi Tena kana funuaUmenikumbusha kuna yule alionyeshwa mpaka kwa vyombo vya habari anakunywa soda balaaa.
Nshaogopa kmlmmkNenda Buguruni sheli wapo wengi tuu hata Mnazi mmoja wapo [emoji23]
Mara watu wanabomoa mazizi kuiba mbuzi inakuaje hao walio wazi hawaibiwiHaina uhalisia kusema hawana mtu sidhani isipokuwa tu wamiliki ni vile wanajua hakuna wanyama wakali wa kuwawinda zaidi huku mjini adui mkuu ni binadamu, mmiliki anakuwa anajua wanapolala
Nimeogopamsongola polisi wapo wengi tu barabarani
MshanitishaaaWapo sitanii mzee ww njoo ntakuonesha uchague ww wanalala mpaka asubui tena uwanjani
Kaa ukijua sio nyama zote tunazonunua ni za halali.Hawa mbuzi wa Dar tunaoshinda nao Bar na kugombea nao madem wananifikirisha sana,hivi nani aliwahi kumchinja mmoja akakakutana na mauza uza??
Maana kila mtu anasema ni mbuzi mara dawa mara wa albadiri eti ukila lina kukuta jambo,nani aliwahi kukutwa na jambo au mtu wake wa karibu kwa kujaribu kula hawa mbuzi,isije kuwa ni survival mechanism yao mjini wakaambiana ili watoboe mjini basi watunge stori kuwa wao ni mbuzi wa dawa ukijaribu kuwala unakufa.....
Nimeandika hivi baada ya kukutana na kundi la mbuzi hapa ilala wana jeuri balaa wananenepeana tu hawaogopi Chochote!!
Sasa unamuibia nani na hawana mwenyewe,we Sema tu unachukua..... tatizo vitisho vingi eti mbuzi wa dawa!!Kaa ukijua sio nyama zote tunazonunua ni za halali.
Hao mbuzi ukipata nafasi ya kuiba iba nenda kauze bro
Tunataka tuufanyie kazi ule msemo wa "mfano wa kuigwa" kwa vitendo kutoka kwake.oya kiongozi unataka kumtoa kama mbuzi wa kafara
Ndio hiyo dhana kwamba ni wa dawa/wana dawa hapo ndio hakuna uhakika na bila shaka hakuna anayetaka kuwa mfanoMara watu wanabomoa mazizi kuiba mbuzi inakuaje hao walio wazi hawaibiwi
Wale mbuzi jau walishawahi nikazia Parking kmmmk ikabidi nitafute sehemu nyingne..Nshaogopa kmlmmk
ChaiHao nimesha tafuna wa3 na hamna chochote,tena watamu balaaa
Onja mmoja uone?Chai
Ww si robot la matope hufi mjini mbuzi wanavukia kwenye zebra na siyo sehemu nyingine ww huogopiNimeogopa
Sijafuatilia maana tulikuwa ulevini na sikujali kwani simjuwi huyo mtuMwisho akafa au alipona?