Mbuzi wa mtaani


Mwisho akafa au alipona?
 
Hao hawana mwenyewe ni mbuzi pori na wanajua hadi 🦓 hata moro mjini wapo sema wanakula takataka s wazuri kwa nyama ukila tu minyoo ya safra hukawii ndo wabongo wanadhani wamelogwa
 
Hao hawana mwenyewe ni mbuzi pori na wanajua hadi 🦓 hata moro mjini wapo sema wanakula takataka s wazuri kwa nyama ukila tu minyoo ya safra hukawii ndo wabongo wanadhani wamelogwa
Kulala nje haina maana hawana mmiliki bali ni kwasababu wamezoea na hakuna wanyama wakali huku mjini, mmiliki anakuwa anajua walipo

Umewahi kuona mbuzi huyo anatembea na kitoto kichanga barabarani? Lakini tunaona wale ambao tayari washakua kua na huwa wanaongezeka umewahi jiuliza huwa wanazaliana na kukua hapo hapo?

Ila kuhusu dawa/ kuwa na mazingaombwe mtu akila hilo sijui
Location kaka njoo mburahati barafu hapa uwanja wa shoka kuna mbuzi kibao hawana mtu wanalala hapo uwanjani mpaka asubui njoo kaka ujichukulie
 
Hao mbuzi hawanaga watu
mjini haina wenyeji washakufaga wote wageni Wakiwaona nao hawana habari nao so wanapata nafasi ya kuzaliana ukienda jalalani utawakuta wapo tu pale
 
Hao mbuzi nasikia ukitamka. Ccm wanakupiga
 
Huku Kahama, inasemekana Kuna mtu alikuwa na mbuzi wa aina hio. Sasa wahuni waliwaiba wote! Na hawakuzulika!!
 
Kwakule Zanzibar mbuzi wapo mitaani wana zagaa lakini wanakua na Mwenyewe na siyo Mbuzi tu mpaka Ng'ombe wapo wanatembea barabarani na mitaani utawakuta wapo kundi moja. Na hisi hao mbuzi wa Dar watakua wa mtu na mtu mwenyewe alishahama akaamiia sehemu nyingine na Mbuzi wakapotelea mtaani, kuna jirani yetu yeye alikua ana funga bata wengi sana sasa alipojenga nyumba yake sehemu nyingine kwenye kuhamia eneo jipya akawaacha baadhi ya bata na hao bata wakawa wana lala juu ya mti na sisi hatukua tuna shughulika nao ifikia Asubuh wanakua mitaani wana jitafutia chakula ikifika jioni wanaruka juu ya miti na kulala mpaka Asubuh.
 

Yeyote anayejua walipo hao mbuzi anitumie location chap nikawe mfano manina
Jeuri haoooo,hawaogopi hata magari mnapishana nao tu barabarani,uzwahilini wanapora mpaka watoto chapati
 
Kwahiyo kwa lugha nyingine ni kama wamemshinda hivi? But wale kuwa mbuzi wa mtu mmoja ni ngumu ila labda watu wameamua wawe na aina hiyo ya ufugaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…