mliverpool
JF-Expert Member
- Jan 6, 2015
- 1,580
- 2,990
Hiyo hoja ya survival mechanism nadhani ndio inaukweli... Hao mbuzi magomeni, ukishuka hadi mwananyamala bondeni kule hadi kuibukia mkwajuni wamejaa sana na ukiwauliza watu wanatoa stori hizo hizo za mbuzi wa albadili na blah blah kama hizo😅😅.Hawa mbuzi wa Dar tunaoshinda nao Bar na kugombea nao madem wananifikirisha sana,hivi nani aliwahi kumchinja mmoja akakakutana na mauza uza??
Maana kila mtu anasema ni mbuzi mara dawa mara wa albadiri eti ukila lina kukuta jambo,nani aliwahi kukutwa na jambo au mtu wake wa karibu kwa kujaribu kula hawa mbuzi,isije kuwa ni survival mechanism yao mjini wakaambiana ili watoboe mjini basi watunge stori kuwa wao ni mbuzi wa dawa ukijaribu kuwala unakufa.....
Nimeandika hivi baada ya kukutana na kundi la mbuzi hapa ilala wana jeuri balaa wananenepeana tu hawaogopi Chochote!!
Mateja wanasemaje nao wanaogopa?Hiyo hoja ya survival mechanism nadhani ndio inaukweli... Hao mbuzi magomeni, ukishuka hadi mwananyamala bondeni kule hadi kuibukia mkwajuni wamejaa sana na ukiwauliza watu wanatoa stori hizo hizo za mbuzi wa albadili na blah blah kama hizo😅😅.
Lakini swali ambalo huwa najiuliza ni je, wale wote ni mbuzi wa mtu mmoja? Coz wako very scattered.
Hao nimesha tafuna wa3 na hamna chochote,tena watamu balaaaHawa mbuzi wa Dar tunaoshinda nao Bar na kugombea nao madem wananifikirisha sana,hivi nani aliwahi kumchinja mmoja akakakutana na mauza uza??
Maana kila mtu anasema ni mbuzi mara dawa mara wa albadiri eti ukila lina kukuta jambo,nani aliwahi kukutwa na jambo au mtu wake wa karibu kwa kujaribu kula hawa mbuzi,isije kuwa ni survival mechanism yao mjini wakaambiana ili watoboe mjini basi watunge stori kuwa wao ni mbuzi wa dawa ukijaribu kuwala unakufa.....
Nimeandika hivi baada ya kukutana na kundi la mbuzi hapa ilala wana jeuri balaa wananenepeana tu hawaogopi Chochote!!
Akutumie kapicha in bobo,inaweza kuwa naye mbuzi!Wewe kwanini ugombanie demu na mbuzi?
Location kaka njoo mburahati barafu hapa uwanja wa shoka kuna mbuzi kibao hawana mtu wanalala hapo uwanjani mpaka asubui njoo kaka ujichukulieYeyote anayejua walipo hao mbuzi anitumie location chap nikawe mfano manina
Nitatafuta kipande hicho pia!Location kaka njoo mburahati barafu hapa uwanja wa shoka kuna mbuzi kibao hawana mtu wanalala hapo uwanjani mpaka asubui njoo kaka ujichukulie
Sijawahi kufanya uchunguzi serious juu ya hili kiasi cha kufika hadi kwa mateja ila kwa jinsi wale mbuzi wanavyokua na kuongezeka Kila siku itakua kinamna fulani hata wao wanakauoga hivi... Kinyume chake ilibidi wapungue badala ya kuongezekaMateja wanasemaje nao wanaogopa?
Hivi hii ni serious au mnatania??Location kaka njoo mburahati barafu hapa uwanja wa shoka kuna mbuzi kibao hawana mtu wanalala hapo uwanjani mpaka asubui njoo kaka ujichukulie
Sina ushuhuda ila kuna mtu aliniambia pale Mwananyamala Koma Koma kuna mlevi mmoja alichinja mbuzi wa kitaa baada ya kushikwa na njaa na kuwa na hamu ya nyama choma. Wanasema jamaa aliachishwa kazi kwani alikuwa anashindwa kwenda kazini kwa sababu kila akitoka kwenda kazini alikuwa anajinyea barabara nzima anafuatwa na nzi, akirudi nyumbani anakuwa katulia. Akitoka tu kwenda nje ya nyumba yake anaanza tena kujinyea hovyo, jamaa aliishi mle ndani mwa nyumba yake mwaka mzima bila kutoka nje.Hawa mbuzi wa Dar tunaoshinda nao Bar na kugombea nao madem wananifikirisha sana,hivi nani aliwahi kumchinja mmoja akakakutana na mauza uza??
Maana kila mtu anasema ni mbuzi mara dawa mara wa albadiri eti ukila lina kukuta jambo,nani aliwahi kukutwa na jambo au mtu wake wa karibu kwa kujaribu kula hawa mbuzi,isije kuwa ni survival mechanism yao mjini wakaambiana ili watoboe mjini basi watunge stori kuwa wao ni mbuzi wa dawa ukijaribu kuwala unakufa.....
Nimeandika hivi baada ya kukutana na kundi la mbuzi hapa ilala wana jeuri balaa wananenepeana tu hawaogopi Chochote!!
Wapo sitanii mzee ww njoo ntakuonesha uchague ww wanalala mpaka asubui tena uwanjaniHivi hii ni serious au mnatania??