Pata sasa mbuzi wa maziwa

Ayubu ngocho

Member
Joined
Nov 6, 2019
Messages
9
Points
45

Ayubu ngocho

Member
Joined Nov 6, 2019
9 45
Tunauza mbuzi wa maziwa aina ya Norwegian goat wenye kukamuliwa liter mbili adi tatu ukimlisha vizuri na niwavumilivu wa magojwa pia wanazaa mapacha watu kwa bei zetu ni

#mbuzi mwenye mimba ambaye ajazaa ata mara ni tsh 120000

#mbuzi alie zaa mara moja na anakamuliwa ni tsh 250000

#mbuzi ambae ajapandwa wa miezi mitatu ni tsh 75000

Tupo Dodoma Mpwapwa

kwa wewe muhitaji piga simu number 0766822563
0766822563
FB_IMG_1571826903091.jpeg
FB_IMG_1571826899720.jpeg
FB_IMG_1571826909850.jpeg
IMG-20191023-WA0027.jpeg
 

Forum statistics

Threads 1,357,572
Members 519,057
Posts 33,150,902
Top