Muda mwingine hua natamani nijiue tu nkapumze ila nakumbuka kufanya hivyo ni dhambi kubwa na mwishowe ni motoni.
Mwaka 2010 nilishndwa kuendelea na advance kwa matatizo ya kifedha.
Mwaka huohuo nkaomba JWTZ kwakua sikua na mtu nilitolewa.
Mwaka 2011 nkafanya interview ya polisi nkafanya vizuri kila sifa ninayo ila pia wakantoa.
Mwaka huohuo nkajiunga chuo cha kilimo kusomea cheti nikamaliza 2013 mwezi wa 7 nikakaa nyumbani kusubiri ajira mara JKT wakatangaza nafasi.Nimeomba ila kwenye usaili wa mgambo wilaya naambiwa natakiwa niwe nimezaliwa 1991 sasa si wanataka miaka23 mimi sijatimza miaka 24 kamili.
Nimezaliwa 10/10/1990, mpaka mwezi wa kumi ndio nitatimiza miaka 24 ila wamenitoa, sasa nfanyaje jamani?