Mbuzi wa maskini hazai

Mbuzi wa maskini hazai

Maisha ni mtihani , usiache kujaribu ndugu yangu hakuna kilicho rahisi kiivyo!
 
Muda mwingine hua natamani nijiue tu nkapumze ila nakumbukumbuka kufanya hvyo ni dhambi kubwa na mwshowe ni motoni.
Mwaka 2010 nlishndwa kuendelea na advance kwa matatzo ya kifedha.
Mwaka huohuo nkaomba JWTZ kwakua ckua namtu nltolewa
Mwaka 2011 nkafanya intavyu ya pols nkafanya vzur kla cfa ninayo ila pia wakantoa...
Mwaka huohuo nkajiunga nachuo cha klmo kusomea chet nkamalza 2013 mwez wa7 nkakaa hom kusubr ajra mara JKT wakatangaza nafas
Nimeomba ila kwenye usail wa mgambo wlaya naambiwa natakiwa niwe nimezaliwa 1991 sasa cwanataka miaka23 mm cjatmza miaka 24 kaml
namm nmezaliwa 10/10/1990 mpaka mwez wakum ndo natmza miaka 24 ila wamentoa sasa nfanyaje jaman??
unaanza kuchoka maisha una miaka 24?.wengine tulisugua benchi mpaka 29 .
 
use this 2 rule in life u will be sucessful bro#1 never quit #2 remember rule no1
 
Muda mwingine hua natamani nijiue tu nkapumze ila nakumbuka kufanya hivyo ni dhambi kubwa na mwishowe ni motoni.

Mwaka 2010 nilishndwa kuendelea na advance kwa matatizo ya kifedha.

Mwaka huohuo nkaomba JWTZ kwakua sikua na mtu nilitolewa.

Mwaka 2011 nkafanya interview ya polisi nkafanya vizuri kila sifa ninayo ila pia wakantoa.

Mwaka huohuo nkajiunga chuo cha kilimo kusomea cheti nikamaliza 2013 mwezi wa 7 nikakaa nyumbani kusubiri ajira mara JKT wakatangaza nafasi.Nimeomba ila kwenye usaili wa mgambo wilaya naambiwa natakiwa niwe nimezaliwa 1991 sasa si wanataka miaka23 mimi sijatimza miaka 24 kamili.

Nimezaliwa 10/10/1990, mpaka mwezi wa kumi ndio nitatimiza miaka 24 ila wamenitoa, sasa nfanyaje jamani?

Mdogo wangu usifike mbali hivyo, chukua CV yako peleka pala ero link hapa morroco au masaki unaweza ukapata nafas ya customer service voda.japi wanalipa kidogo sio sawa na kukaa bure pia ndio mwanzo wa kupata kaz nyingne yenye maslah zaid. Usikate tamaa "
 
Well said man, nina classmate na friend wangu mmoja naogopa hata kumpigia simu sometimes kwa sababu ya nyodo na majigambo yake.

Yeye kapata ajira mapema na inamlipa fresh tatizo ni dharau na kukatisha tamaa wenzake na kujiona yeye ndo yeye hakuna mwingine zaidi yake.

Maboya kama hao wapo kibao, hawana faida hata kubaki na contacts zao katika simu yako Mau, piga chini, Mola atakunjua siku moja kwa sie pia, lets have faith and hope.
 
Maboya kama hao wapo kibao, hawana faida hata kubaki na contacts zao katika simu yako Mau, piga chini, Mola atakunjua siku moja kwa sie pia, lets have faith and hope.

Thanks mkuu, huwezi amini chuo tulikuwa twala nyama choma pamoja
 
mdogo wangu usifike mbali hivyo, chukua cv yako peleka pala ero link hapa morroco au masaki unaweza ukapata nafas ya customer service voda.japi wanalipa kidogo sio sawa na kukaa bure pia ndio mwanzo wa kupata kaz nyingne yenye maslah zaid. Usikate tamaa "

nashukuru kwa ushauri kawaida yangu hua naufanyia kazi muda jc mrefu tauteleza il undugulization hakuna kwel maana ofc hzo cc pangu pakavu hua tunawekwa kapun anyway tajarbu
 
unaanza kuchoka maisha una miaka 24?.wengine tulisugua benchi mpaka 29 .

Tunaish kwa malengo ndugu na co umr chamsing nkuangalia
tunakablia vp na changamoto hz haijalsh namiaka24 au 29 jiulze
pale ulpokusudia unapo au?
 
ndugu zangu siku zote maisha yanachangamoto sana yani mtu ukiwa huna kazi hata heshima inapungua si kwa ndugu hadi marafiki wanakudharau na kukatisha tamaa lakini nimegundua changamoto kwa upande fulani zinatuongezea uwezo wa kufikiri na kukomaa katika kupambana nayo mi ilifika kipindi maisha yalinichezea mpaka nilikuwa nashinda njaa nilikaa nikawaza nikacheka badala ya kulia lakini sikukata tamaa maisha ni kupambana usikubali kufa kizembe "yo need to be strong to survive"...
 
You have just said the truth, family and friends will never respect you, if you are jobless.
 
ndugu zangu siku zote maisha yanachangamoto sana yani mtu ukiwa huna kazi hata heshima inapungua si kwa ndugu hadi marafiki wanakudharau na kukatisha tamaa lakini nimegundua changamoto kwa upande fulani zinatuongezea uwezo wa kufikiri na kukomaa katika kupambana nayo mi ilifika kipindi maisha yalinichezea mpaka nilikuwa nashinda njaa nilikaa nikawaza nikacheka badala ya kulia lakini sikukata tamaa maisha ni kupambana usikubali kufa kizembe "yo need to be strong to survive"...

kila umechoandka n point tupu na ndo hal halc ktk
dunia tulyonayo inayothamn FEDHA kuliko mtu
Daaa! Mungu yupo nasi.
 
dogo nguvu unazo, akili unayo viungo vimekamilika, na ujuzi pia unao tena ni wa kilimo...mungu akupe nini tena?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom