Mtengwa II
JF-Expert Member
- Mar 13, 2017
- 954
- 1,578
Historia inasema mbuzi ndiye aliyegundua bangi!
AmesiziHilo jicho ni chongo au ni mimi langu chongo
He kumbe tunakula bangi kupitia njia nyingine. Mungu tunusuru!
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] hilo jichoo tuu
Kwani huyo ni mbuzi yupi mkuuKama unadhani huyo ni mbuzi mee shauri yako
Kwani huyo ni mbuzi yupi mkuu
[emoji3] [emoji3] [emoji86] [emoji40] [emoji40] [emoji111] [emoji817]Wachaaa!! Kwahyo mkuu unataka kuniambia kwamba huyo mbuzi mwenyew?
Hebu fafanua kidogo mkuu
limelegea tu arifu😵😵😵Hilo jicho ni chongo au ni mimi langu chongo
Our Daudi Bashite...unajua jamaa anaweza omba aende kwa mkopo Arusha ili akaongee na waandishi wa habari alafu amtaje mr mbuzi.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji87] [emoji87] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Our Daudi Bashite...unajua jamaa anaweza omba aende kwa mkopo Arusha ili akaongee na waandishi wa habari alafu amtaje mr mbuzi.