Mbuzi Wa AJabu Dar

Hahahahahahahahahahahahahahahahahaahahaaha umenikumbusha story ya mtu kugeuka chatu buguruni enzi za ujana wetu!!!
 
Huyo mbuzi anabaka wanawake na bado wanaendelea kumpa bia,nyama ,maanadazi na chapati?

Anayempa hivyo vitu ndio achapwe viboko na mbuzi ataacha tabia yake.
 
Wanangu ujinga na uroho mwingine ni balaa. Watanzania wamegeuzwa mbuzi au kuku kuletewa kila upuuzi nao wakauamini. Laiti Shigongo angetwambia kama huyo mbuzi wake ashambaka mkewe kidogo tungemwelewa. Bila kufanya hivyo ni ushahidi kuwa Shingongo anawadharau wateja wake kwa kuwalisha uchafu na uongo. Ajabu eti Shigongo ni mlokole! Hata hivyo nani atashangaa iwapo akina Rwakatare, Gamanywa, Lusekelo, Kakobe, Gwajima na matepeli wengine wana wafuasi?
 
nilishapiga marukufuku magezeti haya kuonekana kwangu, nashindwa tu kuyapiga ban ofisini, mtaani na kwa wauza magazeti mtaani, au huwa nashauri yasomwe(home) watu wote wakiwa wamelala na hakuna anayejua kuwa linasomwa. Sijui limefikaje hapa kwenye JF
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…