Mbuzi mzee unatisha!

Huyu si mbuzi wa kawaida. Huenda akawa jini. Ajabu kabisa. Au ndio mambo ya "photoshop' hayo; lo!:eyebrows:
 
Beberu baada ya bia lazima aletewe majani unajua nyama haimfai maana yeye mwenyewe ni nyama.
 
Toba weeee....mpaka mbuzi kaacha majani anatumia maji ya dhahabu kweli dunia imeishaaa

Sent from my BlackBerry 9100 using JamiiForums
 
Kumbeee eeeh...twambie weee tusojua

Sent from my BlackBerry 9100 using JamiiForums
Jaribu tu kuipata ile chupa,iwe ya bariidiiii,pembeni agiza nyama ya kuchoma na saladi utaona ladha yake ilivyo tamu.
 
Jaribu tu kuipata ile chupa,iwe ya bariidiiii,pembeni agiza nyama ya kuchoma na saladi utaona ladha yake ilivyo tamu.

Aaah kama wewe umejaribu wewe inatosha me nlikua nataka kuskia tu pana jaribu iyo kitu

Sent from my BlackBerry 9100 using JamiiForums
 
Alafu akimaliza anaweka oda ya nyama kilo moja ya mbuzi hapo jikoni kwa mangi na chips zakuchemsha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…