mzee wa kijiwe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2012
- 947
- 684
Au mnato
Mkuu katika hali hiyo unaweza kusahau jinsia yako ghafla tu.Hahaha....utatamani ugeuke ndege
Si mpaka ujue kuogelea.Dawa ya mamba ni kwenda maji ya kina kirefu tu huwa hana jeuri atabaki kukutamani tu
ni hatariMkuu katika hali hiyo unaweza kusahau jinsia yako ghafla tu.