Mbuzi choma Mombo mkoani Tanga... Kwishney

Mkuu hii ni ile highway?

Sent from my Iphone using Tapatalk
 
Kapicha kamoja tu tutaaminije kwamba ni Mombo? Ungepiga picha hapo kona darajani karibu na kamsitu, ungepiga njia panda ya Lushoto, na hapo stendi yao opposite na yadi ya relwe.

Hata hivyo Mombo ni kama waliiroga serikali Maana wenzao wote nchi nzima wanavunjiwa wao nyumba zilikua ndani ya road reserve na hawakufanywa kitu.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe Mshana ondoa ugeni. Mbuzi choma Mombo iko juu kidogo njoa ya Lushoto. Wachagga mdipotoshwe. Mkifika petrol station kunjeni kama mnaelekea Lushoto barabara ya pili kulia. Kuna nyama, bia, musiki hata dadapoa wa chapchap. Kinga muhimu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…