Mbuzi choma Mombo mkoani Tanga... Kwishney

Ukiangalia comments nyingi za wachangiaji humu....utabaini wengi wana/ IQ uelewa mdogo sana am sorry to say that
 
Ni kweli kabisa Mkuu Mshana Jr,nimepita hapo Leo wamesafisha eneo lote la vibanda pale Mombo stand
Watani zangu wachaga na misiba ya kusafirisha kituo Mombo usiku, ndugu zangu wapare... Na wale wote wakupiga kituo Mombo wa kula mbuzi choma tamu na moja baridi moja moto.... Chocho hilo amazing.... Its no more... Rest in peace..
Mchana wa leo tarehe hii ya huzuni kuu tingatinga la sirikali limefanya yakeView attachment 1036240View attachment 1036241

Jr

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiii sio poa kwa wafanyabihashara wa nchii hiii. Tunajenga nyumba moja, kwa nini tugombanie fito.

Maendeleo hayana chama

Kipindi hiki ni kigumu sana, kwa wafanyabihashara, maana mateso na manyanyaso sana, kwa wafanyabihashara. Yaaani inajengeka kwamba kila mfanyabihashara ni mwizi sio kweli kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa mtu mwenye akili nilitegemea utatoa sababu za kubomolewa kwa eneo hilo vinginevyo una lengo baya la uchonganishi.
In advance;kama hiyo ni road reserve ibomolewe tu haijalishi wanauza beberu na dada zake.
 
Wewe Mshana ondoa ugeni. Mbuzi choma Mombo iko juu kidogo njoa ya Lushoto. Wachagga mdipotoshwe. Mkifika petrol station kunjeni kama mnaelekea Lushoto barabara ya pili kulia. Kuna nyama, bia, musiki hata dadapoa wa chapchap. Kinga muhimu
@deceiver umenichekesha mno.... Kwa nilichoandika mimi na ulichochangia wewe sijui ni nani mgeni kati yetu

Jr
 
Kwa mtu mwenye akili nilitegemea utatoa sababu za kubomolewa kwa eneo hilo vinginevyo una lengo baya la uchonganishi.
In advance;kama hiyo ni road reserve ibomolewe tu haijalishi wanauza beberu na dada zake.
Dah kwa hiyo mimi sina akili... Pengine kweli! but muktadha wa mada haukuwa sababu za kunomolewa bali taarifa ya ubomozi

Jr
 
Wewe Mshana ondoa ugeni. Mbuzi choma Mombo iko juu kidogo njoa ya Lushoto. Wachagga mdipotoshwe. Mkifika petrol station kunjeni kama mnaelekea Lushoto barabara ya pili kulia. Kuna nyama, bia, musiki hata dadapoa wa chapchap. Kinga muhimu
Tunafikaga hapo kuanzia saa 5 usiku na kuendelea wanakuwepogo?
 
wale mbuzi choma pale sio watamu ka wa kwa MWOROMBOOOO r-chugaaa

ukiwa na njaaa kila kitu kitamuuu.....ukiwa na kiu hata maji ya bahari ambayo yana chumvi yatakuwa matamuuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom