Mbuzi choma Mombo mkoani Tanga... Kwishney

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
152,551
2,000
Watani zangu wachaga na misiba ya kusafirisha kituo Mombo usiku, ndugu zangu wapare... Na wale wote wakupiga kituo Mombo wa kula mbuzi choma tamu na moja baridi moja moto.... Chocho hilo amazing.... Its no more... Rest in peace..
Mchana wa leo tarehe hii ya huzuni kuu tingatinga la sirikali limefanya yake View attachment 1036240
IMG-20190302-WA0108.jpeg

Jr
 
chakii

JF-Expert Member
Sep 15, 2013
19,010
2,000
Watani zangu wachaga na misiba ya kusafirisha kituo Mombo usiku, ndugu zangu wapare... Na wale wote wakupiga kituo Mombo wa kula mbuzi choma tamu na moja baridi moja moto.... Chocho hilo amazing.... Its no more... Rest in peace..
Mchana wa leo tarehe hii ya huzuni kuu tingatinga la sirikali limefanya yake View attachment 1036240 View attachment 1036241

Jr
Mkuu hii ni ile highway?

Sent from my Iphone using Tapatalk
 
dafity

JF-Expert Member
Aug 16, 2008
1,771
2,000
Kapicha kamoja tu tutaaminije kwamba ni Mombo? Ungepiga picha hapo kona darajani karibu na kamsitu, ungepiga njia panda ya Lushoto, na hapo stendi yao opposite na yadi ya relwe.

Hata hivyo Mombo ni kama waliiroga serikali Maana wenzao wote nchi nzima wanavunjiwa wao nyumba zilikua ndani ya road reserve na hawakufanywa kitu.
Watani zangu wachaga na misiba ya kusafirisha kituo Mombo usiku, ndugu zangu wapare... Na wale wote wakupiga kituo Mombo wa kula mbuzi choma tamu na moja baridi moja moto.... Chocho hilo amazing.... Its no more... Rest in peace..
Mchana wa leo tarehe hii ya huzuni kuu tingatinga la sirikali limefanya yake View attachment 1036240 View attachment 1036241

Jr

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom