Mbuzi choma Mombo mkoani Tanga... Kwishney

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
269,606
696,728
Watani zangu wachaga na misiba ya kusafirisha kituo Mombo usiku, ndugu zangu wapare... Na wale wote wakupiga kituo Mombo wa kula mbuzi choma tamu na moja baridi moja moto.... Chocho hilo amazing.... Its no more... Rest in peace..
Mchana wa leo tarehe hii ya huzuni kuu tingatinga la sirikali limefanya yakeView attachment 1036240
IMG-20190302-WA0108.jpeg

Jr
 
Watani zangu wachaga na misiba ya kusafirisha kituo Mombo usiku, ndugu zangu wapare... Na wale wote wakupiga kituo Mombo wa kula mbuzi choma tamu na moja baridi moja moto.... Chocho hilo amazing.... Its no more... Rest in peace..
Mchana wa leo tarehe hii ya huzuni kuu tingatinga la sirikali limefanya yakeView attachment 1036240View attachment 1036241

Jr
Mkuu hii ni ile highway?

Sent from my Iphone using Tapatalk
 
Kapicha kamoja tu tutaaminije kwamba ni Mombo? Ungepiga picha hapo kona darajani karibu na kamsitu, ungepiga njia panda ya Lushoto, na hapo stendi yao opposite na yadi ya relwe.

Hata hivyo Mombo ni kama waliiroga serikali Maana wenzao wote nchi nzima wanavunjiwa wao nyumba zilikua ndani ya road reserve na hawakufanywa kitu.
Watani zangu wachaga na misiba ya kusafirisha kituo Mombo usiku, ndugu zangu wapare... Na wale wote wakupiga kituo Mombo wa kula mbuzi choma tamu na moja baridi moja moto.... Chocho hilo amazing.... Its no more... Rest in peace..
Mchana wa leo tarehe hii ya huzuni kuu tingatinga la sirikali limefanya yakeView attachment 1036240View attachment 1036241

Jr

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe Mshana ondoa ugeni. Mbuzi choma Mombo iko juu kidogo njoa ya Lushoto. Wachagga mdipotoshwe. Mkifika petrol station kunjeni kama mnaelekea Lushoto barabara ya pili kulia. Kuna nyama, bia, musiki hata dadapoa wa chapchap. Kinga muhimu
 
Similar Discussions

4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom