ismailifaraj Senior Member Mar 26, 2016 121 79 Dec 1, 2016 #1 Baada kupata hela zao za mnada wa korosho wafany kufuru ya kununuliw soda mbuzi Ili nae anufaike Na pesa za korosho
Baada kupata hela zao za mnada wa korosho wafany kufuru ya kununuliw soda mbuzi Ili nae anufaike Na pesa za korosho
idawa JF-Expert Member Jan 20, 2012 25,284 38,312 Dec 1, 2016 #2 Acha anywe tu ikifika zamu yake awe amenona
Kingsharon92 JF-Expert Member Aug 10, 2015 7,554 9,531 Dec 1, 2016 #5 Hahahahahaaa wanamneemesha ikifika zamu wamtengeneze kichuri
sixlove JF-Expert Member Dec 20, 2011 549 372 Nov 12, 2018 #10 MBUZI WA DAR HUYO,,,,WA MKOANI ANALISHWA MRUNGI NA BAAAANG
Black Sniper JF-Expert Member Dec 10, 2013 28,472 45,768 Nov 12, 2018 #11 Wangemuwekea mrija akanyonya kwa raha zake hahahaha