Mbuyu umeota nyumbani kwangu

Mbuyu umeota nyumbani kwangu

Mambo vp wadau, mimi kazi zangu zipo mkoani, ila familia yangu inaishi Dar, wiki iliyopita nimerudi kusalimia familia nimekuta kuna mbuyu umeota pembeni ya Nyumba yangu ambapo kuna kiwanja nimepanga kujenga lakini kila nikipanga kuanza ujenzi mambo yanavurugika pesa inasambaratika na umeota kwenye dirisha la watoto, mke wangu alikua aujui ndo akauacha nami nilikua siujui piano nilifikiri mti wa kawaida ndo maana sikuwekea maanani, leo vibarua wangu walikuja nyumbani ndio wakaniambia ni mbuyu, no umekua una urefu wa futi 18, je nikiukata utaniletea madhara? naomba ushauri wadau.
pasua mbao
 
Madhara gani mkuu,dah.Wewe inaelekea ni mtu mshirikina sana,yaani limti tu linakusumbua.Ukate tu mkuu hamna tabu.Halafu mmeuachaje mpaka umefika almost 6m?
 
Atuku ujua kama ni mbuyu!
 
Kuna watu mnaishi maisha ya tabu sana. Yaani mbuyu tu uote kwenye eneo langu nishindwe kuukata? Inaonekana mtoa mada unaishi kwa imani kali za mambo ya giza, na unazisadiki sana hata pasipokuwepo.

Nini mbuyu, mimi niliwahi kuona chungu na sahani vimetupwa njia panda karibu na nyumba yangu ilikua usiku natoka harusini. Nikavibeba nikatia kwenye fence. Asubuhi nikaviosha vikaanza matumizi. Uchawi hauendi kwa mentali.

Sent using my Nokia Torch
 
Mambo vp wadau, mimi kazi zangu zipo mkoani, ila familia yangu inaishi Dar, wiki iliyopita nimerudi kusalimia familia nimekuta kuna mbuyu umeota pembeni ya Nyumba yangu ambapo kuna kiwanja nimepanga kujenga lakini kila nikipanga kuanza ujenzi mambo yanavurugika pesa inasambaratika na umeota kwenye dirisha la watoto, mke wangu alikua aujui ndo akauacha nami nilikua siujui piano nilifikiri mti wa kawaida ndo maana sikuwekea maanani, leo vibarua wangu walikuja nyumbani ndio wakaniambia ni mbuyu, no umekua una urefu wa futi 18, je nikiukata utaniletea madhara? naomba ushauri wadau.
Kila shetani na mbuyu wake.
Huo ndo mbuyu wako.
 
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]

Happiness is a lifestyle
 
Mapinga - Bagamoyo kuna shule inaitwa BAOBAB, ina Form I-VI, kati kati ya shule kuna MBUYU (BAOBAB) na mpk kufikia 2007, Mbuyu ulikuwa na Umri wa 100+ years! Baobab ni moja ya shule nzuri sana na ya gharama pia!
Kumbe ndo mana inaitwa baobab
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom