businezz_oligarch
Senior Member
- Dec 16, 2012
- 145
- 35
ivi hawa wenye hili gali jekundu wanaojiita fire...kwanini mji mzima wanak2o kimoja 2?????kwann wasweke kila wilaya atleast k2o kmoja,ingawa makampun bnafs yapo lakn kwa m2 wa kawaida moto ukiwaka hawa ndo msaada wao wa kwanza unaokuja akilin....