Good.. uliza kwanini silaha hii nchi zote duniani na hata wspinzani NATO wanazo nyingi wakizitumia katika drills.. sio hivyo tu Israel wameomba kibali na wanatengeneza( Ak ) but not 47 coz hiyo 47 ni version tu..nchi zilizoendelea hawatumii sana bunduki yako uliyo sifia hapa
halafu mi naona ak47 inapendwa sababu ya bei yake, maana hata waasi wanazo nyingi inaonyesha ni bei nafuu. ak47 ingekuwa ni gari ingekuwa toyota VTs halafu hizo za magharibi zingekuwa range.
Notes.. Warusi wameshahama kutoka ak 47 kwenda version nyingine za AK..
Fuatilia kupata uhakika .
Sent using Jamii Forums mobile app