Mbunge yupi kupoteza jimbo lake 2015?

Mbunge yupi kupoteza jimbo lake 2015?

Nelson Kileo

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2011
Posts
3,062
Reaction score
3,280
Kuna misemo isamayo ..

1. Dalili ya mvua ni mawingu.
2. Nyota njema huonekana asabuhi.
3. Kwenye nia njia.

Ukizingati upeo waliona wananchi kwa sasa,ukizingatia pia utumilifu wa ahadi za baadhi ya wabunge pamoja na utendaji wao kwnye majimbo.. Hakika utakubaliana na mm kuna baadhi ya wananchi lazima wataamua maamuzi magumu saana ni wapi watatupa kura yao 2015.

Wanajamvi tusemezana haya..

1.je kwa wewe binafsi unaona ni mbunge yupi unaona yupo hatiani kupoteza jimbo lake .

2.je ni nini hasa kitakachomsababishia mbunge huyo kupoteza jimbo kwenye uchaguzi 2015.

Hii inaweza kuwasaidia baadhi yao kujua ni hatua gani za kuchukua ikiwa wengi wao ni watembeleaji wazuri wa 'jf'.
 
Olesendeka,Sarukambo,Zitto kabwe,Idd azan,makongoro mahanga,lekule laiser,ole medeye,jenista mhagama,anna kilango,na nyie mtawaongeza mnaowafahamu

2.je ni nini hasa kitakachomsababishia mbunge huyo kupoteza jimbo kwenye uchaguzi 2015.
mambo ni mengi lakini kikubwa ni kutokuwa na uwajibikaji wa dhati either wa wananchi waliowatuma au hata kwa watanzania waliowatuma,nafahamu kwamba ukiwa mbunge wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania inatakiwa ikibidi uongelee matatizo ya watanzania in general,hapa tumekaa kichama na kimajigambo zaidi na utaarabu kwa sana

Hii inaweza kuwasaidia baadhi yao kujua ni hatua gani za kuchukua ikiwa wengi wao ni watembeleaji wazuri wa 'jf'.

hey kindly see my input withini your message
 
Wa kwanza atakua MR II SUGU lazima alipoteze jimbo la mbeya mjini kwa 7bu alitoa ahadi kwa wananchi mpaka sasa ajatekeleza.
 
Unaota wewe rais wa mbeya nani amguse.

-apa mbeya rami zimemwagwa mpaka uchochoroni chini ya rais sugu.

- machinga wanafanya biashara kwa uhuru bila buguza.
-kimichezo ndo usiseme chini ya sugu mbeya city haishikiki haikamatiki
Wa kwanza atakua MR II SUGU lazima alipoteze jimbo la mbeya mjini kwa 7bu alitoa ahadi kwa wananchi mpaka sasa ajatekeleza.
 
Wabunge wote wa chadema hawarudi bungeni

Unaumwa kansa ya unongo wewe wewe unaona kapuya na crily chami na magamba mengine ndio watatudi?

Labda kwa nchi nyingine sio tz
 
Mbowe ambaye pale Hai aliotea %51 mwaka 2010

photo me sidhani lama utakua ni wa nnayekufahamu labda ni ID tu ... kwa jinsi ulivyo CDM pure sikudhani ungemtaja Mbowe ..
otherwise hongera kama ni ww .. kwa kua mzalendo wa kusema ukweli .. na kuacha kulinda viongozi wako ..
big up. Photo me .
 
Last edited by a moderator:
Wa kwanza atakua MR II SUGU lazima alipoteze jimbo la mbeya mjini kwa 7bu alitoa ahadi kwa wananchi mpaka sasa ajatekeleza.
Toa ahadi ambayo hajaifanyia kazi hapa mjini msahau naona sugu anawapa shidaaa saaana magamba

Sent from my iPhone 5 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom