ungeweza kuandika 'mbunge wetu wa zamani'. pole zao wafiwa
haswaa! maana yeye sasa si mbunge so umetushtua bure ndugu yangu,. poleni sana
ungeweza kuandika 'mbunge wetu wa zamani'. pole zao wafiwa
Ilikuwa 1995POLENI SANA WAFIWA, MUNGU AMPUMZISHE KWA AMANI ndugu David Bakanyoma Simeon ZIMBIHILE. Huyu alimalizia ubunge wake mwaka 1990, Hahusiki na magamba hao walikuwa waadilifu kwa kiasi kikubwa, kizazi chao tofauti na haya magamba ya leo