Hajawahi kuwa mbunge huyo, ndo anakwenda kuusaka sasa, akikosa atajisogeza kwa NCCR.
Km hujui unakaa kimya. Huyu amekuwa mbunge wa kongwa hadi 2000 au 2005, ndo karithiwa na Ndugai.
Hajawahi kuwa mbunge huyo, ndo anakwenda kuusaka sasa, akikosa atajisogeza kwa NCCR.
Chadema mekuwa desperate sana mimi nilijua chama chenu mnataka kujenga na damu changa na watu wenye mawazo mapya kumbe ni recycle bin!
Huyu alikuwa mbunge mwaka gani? maana jina lake sijawahi kuliskia!!!
Sasa wale ambao tumewahi kujiunga na ccm kwa vile tulikiamini na sasa kimetu disappoint tufanyeje? Twende wapi? Tunaona mkombozi ni CdmChadema mekuwa desperate sana mimi nilijua chama chenu mnataka kujenga na damu changa na watu wenye mawazo mapya kumbe ni recycle bin!
Al-Nuur gazeti lakufungia pilau za hitma
Chadema mekuwa desperate sana mimi nilijua chama chenu mnataka kujenga na damu changa na watu wenye mawazo mapya kumbe ni recycle bin!