Mbunge wa zamani CCM ajiunga na CHADEMA

Mbunge wa zamani CCM ajiunga na CHADEMA

Lakini mbona juzi alihudhuria mkutano mkuu wa Kizota! au na yeye aliiwakilisha Chadema? Hongera Cdm kwa kupokea makombo ya CCM! huyu mbunge uliemtaja wala hana umaarufu wowote! Jee, sumae nae ameshapewa Kadi?

Zamani CDM walikuwa na kadi za aina mbili za wanachama wapya ambao hawakuwa wafuasi wa chama chochote na wale wanaotokea CCM ,baada ya kuona wana-CCM wanakuwa wengi ndo wakabadili zikawa za aina moja, hii maana yake nini?
 
Chadema mekuwa desperate sana mimi nilijua chama chenu mnataka kujenga na damu changa na watu wenye mawazo mapya kumbe ni recycle bin!

Sikubaliani nawe mkuu, kwa mawazo yangu ingawa sikulazimishi ukubaliane nayo mtu yeyote akitaka kujiunga na chama fulani hapaswi kuwekewa mizengwe so long as siyo mvurugaji wa chama husika, hivyo damu changa na damu ya zamani zitasogeza mbele juhudi za chama.
 
chadema nayo kwa kupokeapokea........mmmmh

wanamuenzi Nyerere, UPINZANI wa kweli utatoka ndani ya CCM. Tofauti ni kwamba CCM ni chuo cha kutoa product nzuri, CDM ni wafanyabiashara.
 
Sikubaliani nawe mkuu, kwa mawazo yangu ingawa sikulazimishi ukubaliane nayo mtu yeyote akitaka kujiunga na chama fulani hapaswi kuwekewa mizengwe so long as siyo mvurugaji wa chama husika, hivyo damu changa na damu ya zamani zitasogeza mbele juhudi za chama.

Kwa hiyo wana-CDM wanaosema Mangula na Kinana wamezeeka hawajui walisemalo?
 
Masikini Mbunge wa Kongwa sasa hivi ni nani? Atakuwa amepata pressure
 
Masikimbi Mbunge wa Kongawa sasa hivi ni nani? Aatkuwa amepata pressure

Ugonjwa huu wa mdomo unaitwaje vile jamani, kwa kikwetu tunauita OBONENE, ni aina fulani ya ugonjwa unaowashambulia watoto wa Mbuzi.
 
Lakini mbona juzi alihudhuria mkutano mkuu wa Kizota! au na yeye aliiwakilisha Chadema? Hongera Cdm kwa kupokea makombo ya CCM! huyu mbunge uliemtaja wala hana umaarufu wowote! Jee, sumae nae ameshapewa Kadi?

AH KUMBE MANENO AYA YANATOKA KWA BWANA KAAKILI KADOGO, AH BASI UJINGA TU NDO UMEJAA NA KUTAWALa
 
Sikubaliani nawe mkuu, kwa mawazo yangu ingawa sikulazimishi ukubaliane nayo mtu yeyote akitaka kujiunga na chama fulani hapaswi kuwekewa mizengwe so long as siyo mvurugaji wa chama husika, hivyo damu changa na damu ya zamani zitasogeza mbele juhudi za chama.

Halafu ikifika 2014 mtakuja hapa mnalialia kwamba chama kilichukua mamluki hamkufanya vetting vizuri.
 
Comment hii imebeba taswira tofauti..

Moja inaonyesha uchungu na kutokubaliana na ukweli kwamba kada kasepa..
Mbili hiyo hongera inaonyesha mtoa comment alivyoumia kwa kada huyu kusepa..
Na tatu inanikumbusha yale ya Sungura.. cizitaki mbichi hizi...
Wengi hatujui maana ya KADA.
 
Hajawahi kuwa mbunge huyo, ndo anakwenda kuusaka sasa, akikosa atajisogeza kwa NCCR.

andika unacho fahamu mh senyangwa alikuwa mbunge wa mpwapwa na kongwa miaka ya 80 hadi 90 alimvua mh mtaki (rip)
 
Chadema mekuwa desperate sana mimi nilijua chama chenu mnataka kujenga na damu changa na watu wenye mawazo mapya kumbe ni recycle bin!
na hao walioungana naye kuhamia CDM nao wapo kwenye R Bin? Kama umesoma vizuri ni zaidi ya vichwa 270! Toka huko Mabwepande, njoo tuikomboe nchi yetu kutoka mikononi mwa Mafisadi!!
 
Back
Top Bottom