KIXI
JF-Expert Member
- Mar 3, 2015
- 2,312
- 3,036
Mwanaharaki si baba yakoWanaharakati watasema ni off target.
Mwanaharaki si baba yakoWanaharakati watasema ni off target.
usilete taharukiUlivyo punguani unashangilia mtu KUFA!
We pia MWANGA, wazazi wako WANGA, ukoo Mzima mmejaa wachawi watupu ndo mana unakuja na SONONA zako hapa kushangilia vifo två watu usiowajua mjinga MWANGA wewe UMEKULA/LISHWA Damu / Nyama za watu KATUBU Mapema si tuko AHERA huku tunakusubiri mgeni Chumba umeandaliwa.
Sauti toka kuzimu
R.I.P MH.HALIMA,Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Mussa Azzan Zungu (Mb) anasikitika kutangaza kifo cha Mbunge wa Viti Maalum Mheshimiwa Halima Idd Nassor, kilichotokea leo Jumapili tarehe 18 Januari, 2026 katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete, Jijini Dar es Salaam alipokuwa akipatiwa matibabu.
"Kwa masikitiko makubwa, natangaza kifo cha Mbunge wa Viti Mheshimiwa Halima Idd Nassoro kilichotokea leo 18 Januari, 2026 Jijini Dar es Salaam. Natoa pole kwa Waheshimiwa Wabunge wote, familia ya Marehemu, ndugu, jamaa na marafiki, Mwenyezi Mungu awape moyo wa uvumilivu na subira katika kipindi hiki kigumu," amesema Mheshimiwa Spika.
Ofisi ya Bunge kwa kushirikiana na familia ya Marehemu inaratibu mipango ya mazishi na taarifa zaidi zitaendelea kutolewa. "Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un", Amina.
Imetolewa na:
Kitengo cha Mawasiliano na Elimu kwa Umma Ofisi ya BungeDodoma18 Januari, 2026
Waooo, tumpe nini Mungu kwa maana sifa na utukufu ni vyake..Humu tuuuuu!!!!

Wewe hausboy wa bibi wa kizungu, sikiliza bora sisi tunajua mtume alikuwa mwarabu, sasa nyinyi mnakubali vipi yesu aliukuwa mweusi tii abadilshwe na kufanywa mzungu kwa sababu weusi kwa wazungu ni uchafu kwaoAnajivunia sasa hivi kabadilika kuwa mwarabu. Ndio sababu kuu na ya kipekee mijitu mieusi kuwa miislamu.
Makebo Munch wa Annabelle kahtaan Al-mukheef
adriz de mbusii
Jamaa analalamikia matokeo badala ya chanzo. Matako yakeMbona Samia anashangalia tena vifo vya watu wengi na kujitapa? Mbona anaenda mbali zaidi na kuua?
Sijawai kushangilia kifo cha mtu yeyote hapa duniani.Mbona na wewe ulishangalia vifo vya wengine, kwako kitamu kwa mwenzio kichungu
Kama wewe ulivyofurahi wale waandamianaji kuwahiwa waache nao wafurahie wanapokufa watesi waoSijawai kushangilia kifo cha mtu yeyote hapa duniani.
Ila kwenye battle nikiona Unataka kuniwai nakuwahi haraka sana.
Kama wale walikua na mapanga,wanaiba na kuchoma vitu vya watu hata wewe huwezi kuwaacha.
Wewe kichwa boflo vipi mada za Iran zimekushindaAcha afe tu maana Kifo ni kifo tu!!