pombe kali
JF-Expert Member
- Jun 28, 2014
- 231
- 450
Ukiachilia mbali hilo la kwenda hospitalini, hii barabara inaunganisha mikoa ya Pwani na Dar kule Msongola. Nasikia Jerry Silaa akiwa Meya wa Ilala aliiondoa hii barabara kutoka Tanroads ana akairudisha ngazi ya manispaa. Sasa manispaa inashindwa kuihudumia kabisa.Ikumbukwe Hii ni barabara inayokwenda hosipitali ya wilaya (Ilala)
Kazi kweli! Mbunge mnatafuta mtandaoni!Kwanza hongera kwa ushindi na heri ya mwaka mpya, hongera sababu ulifanikiwa kupita katika kura za maoni na pia kupata ridhaa yetu sisi wananchi, hongera tena sababu ni jimbo ambalo umelihangaikia kwa muda mrefu.
Masikitiko yetu sisi wananchi ni kwamba tangu uapishwe hujawahi kupita mitaani ili kuongea na wananchi tunaona wabunge wa majimbo mengine wakiwa wanakwenda kwa mwendo wa kukimbia.
Sisi wanaukonga tuna changamoto kubwa ya miundombinu, mvua ikinyesha huwa tunakuwa kisiwani na inatazimu wakati mwingine tusirudi makwetu hivyo mipango vyumba mijini ili tuwe maeneo ya karibu na sehemu za vibarua vyetu, hapa nazungumzia barabara ya kutoka Banana kwenda Kitunda, Kitunda-Kivule, Kitunda-Magole, Pugu-Majohe nk au ndiyo aliyeshiba hamjui mwenye njaa?
Kwani mlimchagua? Uchafuzi = uchaguzi?Kwanza hongera kwa ushindi na heri ya mwaka mpya, hongera sababu ulifanikiwa kupita katika kura za maoni na pia kupata ridhaa yetu sisi wananchi, hongera tena sababu ni jimbo ambalo umelihangaikia kwa muda mrefu.
Masikitiko yetu sisi wananchi ni kwamba tangu uapishwe hujawahi kupita mitaani ili kuongea na wananchi tunaona wabunge wa majimbo mengine wakiwa wanakwenda kwa mwendo wa kukimbia.
Sisi wanaukonga tuna changamoto kubwa ya miundombinu, mvua ikinyesha huwa tunakuwa kisiwani na inatazimu wakati mwingine tusirudi makwetu hivyo mipango vyumba mijini ili tuwe maeneo ya karibu na sehemu za vibarua vyetu, hapa nazungumzia barabara ya kutoka Banana kwenda Kitunda, Kitunda-Kivule, Kitunda-Magole, Pugu-Majohe nk au ndiyo aliyeshiba hamjui mwenye njaa?
Java-Nyantira ni bahari kabisaaa! Mbunge Upooo!Kwanza hongera kwa ushindi na heri ya mwaka mpya, hongera sababu ulifanikiwa kupita katika kura za maoni na pia kupata ridhaa yetu sisi wananchi, hongera tena sababu ni jimbo ambalo umelihangaikia kwa muda mrefu.