Mbunge wa Tunduma, Frank Mwakajoka atengenezewa kesi ya kuchoma nyumba

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,703
218,238
Siasa za kishamba za ccm kwa kushirikiana kikamilifu na JESHI LA POLISI zimeendelea kushika kasi mjini Tunduma , Na sasa wamemtengenezea kesi mbunge wa eneo hilo Mh Mwakajoka.

Wanachama wengine zaidi ya kumi wa Chadema wamekamatwa na polisi wa kitengo maalum cha ccm mjini Tunduma , viongozi wa Chadema kanda ya Nyasa wakishirikiana na Wakili Msomi Mwambukusi bado wanapambana kuhakikisha wanachama hao wanaachiwa .

Ikumbukwe kwamba kwenye uchaguzi mkuu wa 2015 ccm iliambulia kipigo cha mbwa koko mjini Tunduma .

Mungu ibariki Chadema
 
Wacha wamshike sharubu mwenyezi mungu lkn wajue kuwa yote yana mwisho
 
Huyu mtu ndio maana wengine tulishamuondooa katika kundi la viongozi wenye kufaa na kustahili kuitwa viongozi.

Watu wanafikiri tunamchukia bure kumbe ni kutokana na matendo yake.

Hafai, hafai tu.
 
Back
Top Bottom