Mbunge wa Tunduma, Frank Mwakajoka atengenezewa kesi ya kuchoma nyumba

Jibu swali ndugu
Hii Ni thread ya kuchangia swali linalohusiana Na mjadala huwezi kuja kukurupuka Na Maswali yako Kama kuna interview

Kaanzishe thread ya kuhusu Hilo swali nitakuja kukujibu huko

Hapa Mjadala Ni kuhusu Tunduma
 
Siasa za kishamba za ccm kwa kushirikiana kikamilifu na JESHI LA POLISI zimeendelea kushika kasi mjini Tunduma , Na sasa wamemtengenezea kesi mbunge wa eneo hilo Mh Mwakajoka.

Wanachama wengine zaidi ya kumi wa Chadema wamekamatwa na polisi wa kitengo maalum cha ccm mjini Tunduma , viongozi wa Chadema kanda ya Nyasa wakishirikiana na Wakili Msomi Mwambukusi bado wanapambana kuhakikisha wanachama hao wanaachiwa .

Ikumbukwe kwamba kwenye uchaguzi mkuu wa 2015 ccm iliambulia kipigo cha mbwa koko mjini Tunduma .

Mungu ibariki Chadema
Hivi askari wetu kule moshi huwa wanafaulu ile kozi au wanasukumwa tu, nina mashaka sana, mbona zamani askari walikuwa hawapo hivi, nina mashaka sana na kozi zao kule moshi kama kweli wanafaulu na kufata maadili ya kazi zao, au bora liende, nina mashaka sana tena sana
 
polisi wa Tanzania jambo lao kubwa na la kwanza ni kuitumikia ccm kwa kukubali kutumikishwa hata na mjumbe wa nyumba 10
 
Back
Top Bottom