Mbunge wa Mbeya mjini na wenzako amkeni usingizini

Mbunge wa Mbeya mjini na wenzako amkeni usingizini

Nilidhani wewe ni mmoja kati ya wapiga kura wa mbeya mjini ambae anajua kwa uhakika kuwa mh. Sugu hayuko pamoja na wapiga kura wake. Kumbe ni mlopokaji tu!
 
Folks who get on board this discussion and bringing issues of a certain party against the other should just bow out. My intention was solely to argue on personal capacity and strategies of an individual. To me it doesn't matter from which party an MP will come. My comments would always be the same. So please it should be noted that m not interested in which party against which dialogue.
As I said before Being an effective MP argely depends also on personal strategies and not merely the ticket you are sailing with.Msimtetee sana hamumsaidii bali mnampoteza kwa kumpenda kupita kiasi hamuwezi kumkosoa akajua wapi anakosea!

You're the only one who started this thread and you shall be the only one to bear the consequences! Things have just started boomeranging.
 
Tumeshampa sana ushauri wa nini akifanye ili kumjenga kisiasa and at the same time kuacha alama kwenye eneo binge lake but Amekua na kichwa kigumu,nadhani na elimu yake pia ni kikwazo,sina njaa asubuhi nimepiga bakuli zangu tatu za uji wa mtama,niko fiti,nasubiri ugali wa mhogo mchana!

Umemshauri nini ili ajijenge kisiasa? Pia mimi kama mkazi wa soweto mbona kuna mambo mhehimiwa kayasimamia na tunamkubali sana. Try to be rational in your argument.......................
 
Tusaidiane,siwezi kuwavaa wooooote kwa siku moja,nimechagua kuanza na huyu cuz anazo changamoto zilizo wazi kama nilivyoziorozesha kwenye post yangu,isome tena,utanielewa,otherwise as I said nimeanza na huyu then ntakwenda kwa uliowataja na uliokwepa kuwataja akiwemo mh.mbowe,lowassa,huyo lema wa hapo kwenu,Zitto na wengine
Maisha bora kwa kila mtanzania, huu wimbo uliishia wapi mshikaji?
 
Umemshauri nini ili ajijenge kisiasa? Pia mimi kama mkazi wa soweto mbona kuna mambo mhehimiwa kayasimamia na tunamkubali sana. Try to be rational in your argument.......................
Yap hayo ndio mambo ambayo wapenda maendeleo(sio wapenda vyama)tungependa kuyasikia all the time lakini bahati mbaya hujayataja,huko nyuma nimeomba wapenzi wake mnitajie jambo moja tu ambalo mheshimiwa anaweza kujivunia so far lakini naona mnatapa tapa tu,nitajieni jambo moja tu then tusonge mbele,naona kama mjadala umesimama mahali hausongi mbele,i'm very disappointed to be honest.
 
Huyu jamaa yenu mnampenda tu aisee laini hana mpango,huo ndio ukweli,hakuna alichofanya so far..
 
Naona hujui kazi za Mbunge wala Bunge. Rejea somo la Civics form two ndipo utakapoona mgawanyo wa majukumu katika mihimili mitatu ya Serikali 1. Executive 2. Judiciary 3. National Assembly (Parliament). Kwani ni Mbunge gani amepewa posho ya kwenda kujenga barabara jimboni kwake?! Acha hao wabunge matajiri wanaotoa misaada au kujenga shule, hapo wanatumia pesa yao na huruma kwa kuwa serikali kuu imeshindwa kufanya kazi yake. Issue sio kufuta posho au bunge issue hapa kwa watu wenye akili ni kila mhimili wa serikali kutekeleza majukumu yake. Upo kwenye jukwaa la Great Thinkers lakini naona bado una uwezo mdogo sana wa kupambanua mambo madogo kama haya.
 
Wana Mbeya mjini mara ijayo mchague mbunge ambaye atatumia muda mwingi kutatua matatizo mengi yanayowazunguka kama vile suala la kuondoa watu Soko Matola nk. Muda umefika sasa wa kuacha ushabiki wa siasa na kuangalia nani atawafaa.Msichague kwa kufuata sauti nzuri au mashairi yenye vina!!! Hayo yasikilizwe redioni!!!

Mheshimiwa Sugu una mambo mengi sana ya kushughulika nayo ambayo yangekutoa mno kisiasa bila kujali elimu yako ndogo ya kidato cha nne,Soko Matola is just one example but Mbeya urban in general needs an intervention in urban planning matters. Have u ever asked yourself this question: Is Tanzam Highway portion from Uyole to Iyunga a highway or just an ordinary street?? What about taking active role in afforestation programs that we saw in the past?? Do people ask themselves why has Mbeya micro climates changed? What role you and our waheshimiwa wengine wa mbeya playing in taming the changes?

Bonge la changamoto kwako sugu na wenzako nimewapa,kazi kwenu muda bado mnao.

Nawasilisha,now kazi yangu itakua kukagua kazi za wabunge wetu majimboni ili ukifika wakati tuwapime kwa alama walizoacha majimboni na sio kwa kupambana na kiti dhaifu cha spika na wasaidizi wake tu.

Kwani Sugu ni mbunge? Ok Yule wa Mbeya mjini? Huyu jamaa ni kilaza sana hajuwi hata what is civics!! Nilikuwa namwonea huruma sana darasani maana alikuwa hajuwi lolote na akiulizwa swali utamwonea huruma. Hata mwl wa kiingereza alikuwa anamwita Sugu Tutusa na Sabasaba sec school yote ilikuwa inamjua Hilo. Wanyakyusa na Wasafwa toeni huyu muhuni anawatia aibu sana nyie ni watu makini sana.
 
Wana Mbeya mjini mara ijayo mchague mbunge ambaye atatumia muda mwingi kutatua matatizo mengi yanayowazunguka kama vile suala la kuondoa watu Soko Matola nk. Muda umefika sasa wa kuacha ushabiki wa siasa na kuangalia nani atawafaa.Msichague kwa kufuata sauti nzuri au mashairi yenye vina!!! Hayo yasikilizwe redioni!!!

Mheshimiwa Sugu una mambo mengi sana ya kushughulika nayo ambayo yangekutoa mno kisiasa bila kujali elimu yako ndogo ya kidato cha nne,Soko Matola is just one example but Mbeya urban in general needs an intervention in urban planning matters. Have u ever asked yourself this question: Is Tanzam Highway portion from Uyole to Iyunga a highway or just an ordinary street?? What about taking active role in afforestation programs that we saw in the past?? Do people ask themselves why has Mbeya micro climates changed? What role you and our waheshimiwa wengine wa mbeya playing in taming the changes?

Bonge la changamoto kwako sugu na wenzako nimewapa,kazi kwenu muda bado mnao.

Nawasilisha,now kazi yangu itakua kukagua kazi za wabunge wetu majimboni ili ukifika wakati tuwapime kwa alama walizoacha majimboni na sio kwa kupambana na kiti dhaifu cha spika na wasaidizi wake tu.

Hivi ajua wakazi wa Soko matola wanahitaji nini?Kama hujui basi usimlaumu Sugu walaumu watendaji/serikali.Wamiliki wa nyumba za Soko Matola hakuna asiyetaka maendeleo na tunaweza hata kuwekeza wenyewe kujenga nyumba nuzri,bora na za kisasa tukipewa nafasi kama zile wanazopewa wawekezaji waliokwisha toa rushwa.Pole sana ndugu yangu ya Soko Matola tuachie wenyewe.
 
Back
Top Bottom