Wana Mbeya mjini mara ijayo mchague mbunge ambaye atatumia muda mwingi kutatua matatizo mengi yanayowazunguka kama vile suala la kuondoa watu Soko Matola nk. Muda umefika sasa wa kuacha ushabiki wa siasa na kuangalia nani atawafaa.Msichague kwa kufuata sauti nzuri au mashairi yenye vina!!! Hayo yasikilizwe redioni!!!
Mheshimiwa Sugu una mambo mengi sana ya kushughulika nayo ambayo yangekutoa mno kisiasa bila kujali elimu yako ndogo ya kidato cha nne,Soko Matola is just one example but Mbeya urban in general needs an intervention in urban planning matters. Have u ever asked yourself this question: Is Tanzam Highway portion from Uyole to Iyunga a highway or just an ordinary street?? What about taking active role in afforestation programs that we saw in the past?? Do people ask themselves why has Mbeya micro climates changed? What role you and our waheshimiwa wengine wa mbeya playing in taming the changes?
Bonge la changamoto kwako sugu na wenzako nimewapa,kazi kwenu muda bado mnao.
Nawasilisha,now kazi yangu itakua kukagua kazi za wabunge wetu majimboni ili ukifika wakati tuwapime kwa alama walizoacha majimboni na sio kwa kupambana na kiti dhaifu cha spika na wasaidizi wake tu.
Mkuu Sugu hawezi kuamka wala kuzinduka maana nafikiri hajui nini kilimpeleka bungeni.
Yeye anafikiri amepelkwa pale kukitetea chama chake cha CHADEMA badala ya wananchi wa sehemu anayotoka, Mbeya Mjini.
Sijawahi kusikia akitetea kuondoa kero ya yale uliyoyaandika, yaani barabara ya TANZAM kuondolewa, soko la Matola na hata umaliziaji wa soko la Mwanjelwa.
Mtu huyu asivyo na fadhila kwa watu waliomchgua anaona vyema kupigwa mabomu huko Arusha.
I am on record nikisema ni vyema angefia huko, kusingekuwapo na loss yoyote kwa wanaMbeya.
Sasa muda umekwisha, muda wa mistari ya miyeyusho na usanii umekwisha.
Barabara ya kwenda Chunya wala haijaanza licha ya miaka yote ya mtu kukalia kiti.
Mwenzake , Mbowe mjanja sana.
Kamualika hata Rais Kikwete ili barabara moja ya huko Hai ijengwe, na ni barabara ya kijijini kwao Mbowe.
Mbowe anajua fika kuwa fungu la maendeleo liko mikononi mwa rais, akaliomba na akapewa.
Mtu asiye na akili sana anjitengenezea mazingira ya hata kutokuongea na watwala waliopo madarakani, ili kurahisiha uwakilishaji wa matatizo ya wananchi.
Sheo ambacho Sugu angepaswa kugombea kwa sasa ni Uktibu Mkuu wa CHADEMA, akiwa huko kero za wana Mbeya zitakuwa zimepungua.