Mbunge wa Mbeya mjini na wenzako amkeni usingizini

Mbunge wa Mbeya mjini na wenzako amkeni usingizini

tuache itikadi za vyama,tuwapime wabunge wetu kwa kutazama nini wamefanya kwenye maeneo bunge yao

Naomba unisaidie kutofautisha roles na mipaka ya uwajibikaji ya mbunge na roles na mipaka ya uwajibikaji ya Serikali
 
Kuna wabunge wengi sana wenye kiwango cha elimu unachokitaka wewe , lakini hawajafanya lolote la kulipigia mfano ! Unapotoa ushauri ni bora sana kama Dharau za Kielimu ukiziweka kando , maana zitawafanya wadau waupuuze ushauri wako hata kama una maana .
Kwani kusema mtu ana elimu ya kidato cha nne na kweli ndio elimu alinayo ni dharau ama ni kusema ukweli?
 
Kosa ulilofanya ni kuhusisha Elimu ya viongozi kwenye mipango yetu ya maendeleo , huku ukijua kwamba kuna lundo la wabunge wenye hiyo elimu unayoitaka lakini hawana lolote walilofanya kwenye majimbo yao .
 
Tumeshampa sana ushauri wa nini akifanye ili kumjenga kisiasa and at the same time kuacha alama kwenye eneo binge lake but Amekua na kichwa kigumu,nadhani na elimu yake pia ni kikwazo,sina njaa asubuhi nimepiga bakuli zangu tatu za uji wa mtama,niko fiti,nasubiri ugali wa mhogo mchana!

Haya ndio matatizo ya kuvutishwa bangi na wazazi hasa mama. Mbunge wangu wa Chalinze, Said Bwanamdogo ana masters tena za GPA kali, lakini ni afadhali tusingekuwa na mbunge.... Kilolo mbunge wao ni Profesa, hovyo kabisa. Hata wodi ya kujifungulia kina mama hawana. Halafu m.pu.mbavu unakuja hapa unatumika na mabwana zako wapumbavu kuleta Ugoro jamvini! Watch out dogo KIM KARDASH
 
Last edited by a moderator:
Naona unampa Mbunge kazi za Manispaa na kazi za Wizara ya Maliasili na Utalii pamoja na za wizara ya Nyumba na Maendeleo ya Makazi.


Soko ni kazi ya Manispaa, Barabara ni kazi ya TANROADS, Misitu ni kazi ya Maliasili na Utalii na Urban issues ni kazi ya Wizara ya Nyumba na Maendeleo ya Makazi. Manispaa ina pesa na Wizara zina Bajeti ya kutekeleza yote hayo. Imefika wakati sasa sio tunakurupuka tu kupost vitu visivyo na maana. Nakushangaa unapoita elimu ya form four ni ndogo, elimu kubwa ni ipi?! Kwani majimbo yenye hao ambao akili yako inawaona kuwa wana elimu kubwa wamefaidika na nini?!
eeh! kama ni hivyo basi wabunge hawana kazi yeyote ya kustahili maposho lukuki tunayowalipa sisi wapiga kura as taz payers!bora tubaki na manispaa na hizo wizara tu kwa mtazamo wako wewe au sio?
 
eeh! kama ni hivyo basi wabunge hawana kazi yeyote ya kustahili maposho lukuki tunayowalipa sisi wapiga kura as taz payers!bora tubaki na manispaa na hizo wizara tu kwa mtazamo wako wewe au sio?

Tatizo ni mbunge au ni katiba yetu mbovu? Una mbunge, meya, diwani, mkurugenzi wa halmashauri, mkuu wa wilaya, bado mambo yasipoenda sawasawa unamlaumu mbunge! Akupitishie au akusaidie kwenye bajeti, akutungie sheria bado na choo cha soko matola ajenge mbunge? Are you serious?
 
Mkuu kwa uelewa wa sugu hana jipya na mawazo yake ni mafupi mno.
 
Upumbavu wa sugu ni mmoja kwanza vikao vya halmashauri vile vya madiwani haendi na siku ameenda anaishia kuwatukana.
 
Thank you,nilijua wapo wachache ni great thinker wa ukweli wataelewa,but missing a point kwa vilaza is always an easy thing,tuwaache.

nami naweka pembeni itikadi za kisiasa, hivyo nakupongeza kupata mtoto na Kanye West!
 
Wana Mbeya mjini mara ijayo mchague mbunge ambaye atatumia muda mwingi kutatua matatizo mengi yanayowazunguka kama vile suala la kuondoa watu Soko Matola nk. Muda umefika sasa wa kuacha ushabiki wa siasa na kuangalia nani atawafaa.Msichague kwa kufuata sauti nzuri au mashairi yenye vina!!! Hayo yasikilizwe redioni!!!

Mheshimiwa Sugu una mambo mengi sana ya kushughulika nayo ambayo yangekutoa mno kisiasa bila kujali elimu yako ndogo ya kidato cha nne,Soko Matola is just one example but Mbeya urban in general needs an intervention in urban planning matters. Have u ever asked yourself this question: Is Tanzam Highway portion from Uyole to Iyunga a highway or just an ordinary street?? What about taking active role in afforestation programs that we saw in the past?? Do people ask themselves why has Mbeya micro climates changed? What role you and our waheshimiwa wengine wa mbeya playing in taming the changes?

Bonge la changamoto kwako sugu na wenzako nimewapa,kazi kwenu muda bado mnao.

Nawasilisha,now kazi yangu itakua kukagua kazi za wabunge wetu majimboni ili ukifika wakati tuwapime kwa alama walizoacha majimboni na sio kwa kupambana na kiti dhaifu cha spika na wasaidizi wake tu.
Not only mr j mbilinyi but aslo all members of parliament they have big role to play before 2015,Every part in Tanzania peoples are crying,they dont have any solution for their problems.Unless your bias mr mbilinyi amefanya kazi nzuri na mawazo yako ni changamoto kwa wabunge wote
 
Tatizo ni mbunge au ni katiba yetu mbovu? Una mbunge, meya, diwani, mkurugenzi wa halmashauri, mkuu wa wilaya, bado mambo yasipoenda sawasawa unamlaumu mbunge! Akupitishie au akusaidie kwenye bajeti, akutungie sheria bado na choo cha soko matola ajenge mbunge? Are you serious?

kwa hiyo kwa mtazao wako wewe kazi ya mbunge ni kujenga vyoo!
 
kwa hiyo kwa mtazao wako wewe kazi ya mbunge ni kujenga vyoo!

Upuuzi wa Soko matola unauleta hapa ili iweje? Mlalamikie Mkurugenzi wa Halmashauri. Hamkawii nyie mwishowe mtadai mbunge hawapi nauli ya daladala
 
Madam, it's your time now to make yourself known to the people of Mbeya and strongly try to publicize yourself that you're more educated than MP Joseph Mbilinyi and you do so in the hope of standing for the next election of members of parliament competing with Sugu! But watch out if you're not the choice of the people,don't dare to do so!

Who should take into account planning matters of an area or a developing area? An MP or the government which is the provider and governor of all major plans and projects of the state? Twenty years ago the Tanzania-Zambia high way from Uyole to Mbalizi had no traffic jams as it's currently and the same applies to Mwanjelwa to soko Matola via Sinde or Mabatini! Presently the high way is seen just like a street consequently to a rapid growth in population. More people more working tools e.g cars,motorcycles and more economic activities.

So these problems have not just started during Sugus' era, they've been there since then and probably won't end today or tomorrow! Why there were deforestation at Forest area the whole way from Uhasibu upward to Nero and downward to Simike to mention a few? What happened to mount Mbeya or Loreza and Kawetele the former freezers of Mbeya City? Who deforested these places?

With your education don't blame and rely on Sugu to tackle what you have mentioned. What do you expect to come out of a self focused or a one sided government in essence of opposition political parties? Think big before you criticize an innocent man for what he doesn't deserve to be criticized for the sake of politics!
Folks who get on board this discussion and bringing issues of a certain party against the other should just bow out. My intention was solely to argue on personal capacity and strategies of an individual. To me it doesn't matter from which party an MP will come. My comments would always be the same. So please it should be noted that m not interested in which party against which dialogue.
As I said before Being an effective MP argely depends also on personal strategies and not merely the ticket you are sailing with.Msimtetee sana hamumsaidii bali mnampoteza kwa kumpenda kupita kiasi hamuwezi kumkosoa akajua wapi anakosea!
 
nami naweka pembeni itikadi za kisiasa, hivyo nakupongeza kupata mtoto na Kanye West!

Nakushukuru sana pongezi kama hizi zimfikie girlfriend wa katibu mkuu pia maana nae alipata mtoto wa nje ya ndoa na katibu!
 
Mheshimiwa may not be getting what we are saying cuz nimegundua kuna watu wajinga(baadhi) wapo hapa kwa kazi moja tu- chama kwanza. It will be good if we get access to his facebook page. Can anyone volunteer to give us the link?

If he is also on twitter it will be good for us as we can easily share with him what needs to be done. I am sure with his vigour, zeal and charm he can drive well agenda for Mbeya development provided he is well advised and guided!!. Some of us are ready to share with him development and pertinent matters of Mbeya (akiacha ukaidi) for the sake of Mbeya people regardless of their political affiliation even though we don't live there and don't expect our kids to. Its all about a PASSION we have for that place. If someone can pass this message on to him it will be cool.I hope this will better explains to some folks here who struggle to drug this discussion towards the party politics that m not dealing with party politics here...

'Smart phones need to be fully used for the purpose they are intended to. They shouldn't just remain for show off'
 
hivi unaweza kumwambia mtu kama sugu aamke?anajua hata maana ya kuamka?ywewe unapoamka yeye anasokota
 
Back
Top Bottom