KIM KARDASH
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 5,139
- 1,149
Wana Mbeya mjini mara ijayo mchague mbunge ambaye atatumia muda mwingi kutatua matatizo mengi yanayowazunguka kama vile suala la kuondoa watu Soko Matola nk. Muda umefika sasa wa kuacha ushabiki wa siasa na kuangalia nani atawafaa.Msichague kwa kufuata sauti nzuri au mashairi yenye vina!!! Hayo yasikilizwe redioni!!!
Mheshimiwa Sugu una mambo mengi sana ya kushughulika nayo ambayo yangekutoa mno kisiasa bila kujali elimu yako ndogo ya kidato cha nne,Soko Matola is just one example but Mbeya urban in general needs an intervention in urban planning matters. Have u ever asked yourself this question: Is Tanzam Highway portion from Uyole to Iyunga a highway or just an ordinary street?? What about taking active role in afforestation programs that we saw in the past?? Do people ask themselves why has Mbeya micro climates changed? What role you and our waheshimiwa wengine wa mbeya playing in taming the changes?
Bonge la changamoto kwako sugu na wenzako nimewapa,kazi kwenu muda bado mnao.
Nawasilisha,now kazi yangu itakua kukagua kazi za wabunge wetu majimboni ili ukifika wakati tuwapime kwa alama walizoacha majimboni na sio kwa kupambana na kiti dhaifu cha spika na wasaidizi wake tu.